Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Usimdhihaki Mungu kijana !! .Mungu hayupo. Angekuwepo tusingekua tunapata shida hizi Duniani.
Na kama yupo na akatengeneza haya matatizo basi hana akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimdhihaki Mungu kijana !! .Mungu hayupo. Angekuwepo tusingekua tunapata shida hizi Duniani.
Na kama yupo na akatengeneza haya matatizo basi hana akili.
Kwa kuwa wewe huelewi baadhi ya phenomena haimaanishi hazipo Duniani.Mungu muweza wa yote, mwenye mapenzi kemkem, aliyepo mahali kote kwa wakati wote, na tararira zingine kama hizo, mpaka hivi sasa mungu huyo hakuna ushahidi wa uwepo wake.
Hilo mkubali mkatae, ndo ukweli wenyewe huo.
Huyo mungu mnayedai yupo anafeli mitihani midogo na myepesi sana ya maswali ya kawaida kabisa.
Jana/ leo imeletwa habari humu kuwa kuna mchungaji huko Ethiopia kauliwa na mamba ziwani alikokuwa anawabatiza sijui waumini wake wale.
Huyo mchungaji alikuwepo hapo ziwani akifanya kazi ya ki-mungu. Na nadhani ni haki nikimuita huyo mchungaji kuwa ni 'wakala' wa mungu.
Sasa huyo mungu alikuwa wapi kumnusuru kifo huyo 'wakala' wake? Iweje huyo mungu akampa akili na uwezo huyo mamba wa kumshambulia huyo 'wakala' wake huko ziwani hadi kumuua?
Sijawahi hata kuparuriwa na paka lakini nadhani kung'atwa na mamba hadi ufe kunauma kweli kweli.
Huyo mungu alishindwa nini kumnusuru huyo 'wakala' wake kuepuka hayo maumivu?
Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa hakuna ushahidi wa huyo mungu. Kilichopo ni mambo ya kufikirika tu, au waweza kuyaita 'imani'.
Kwa hiyo, kwangu mimi, mpaka hivi sasa huyo mungu ni kiumbe msasili [mythical figure].
Hakuna ushahidi unaothibitisha, unaotosha, na unaohitimisha kuhusu uwepo wake.
Eti anashangazwa na tukio la Mamba...Kama Mungu alimruhusu Shetan amtese Ayubu ,nakumfanya watu wamkimbie ,mpaka mkewe kumkejeli , sembuse hili la Mchungaji na Mamba??? .Kwa kuwa wewe huelewi baadhi ya phenomena haimaanishi hazipo Duniani.
Kwa kuwa wewe huelewi baadhi ya mambo haimaanishi hayapo, na kwa kuwa wewe huelewi utendaji kazi wa Mungu haimaanishi hayupo.
God exist!
AMINA..Ngoja kwanza nivute hii pumzi ya Bure kabisa nione watu wanavyojikanyaga hapa.
Kibaya zaidi mtu akiugua tu kajipu akaanza kushindwa kufanya ujeuri wake kwenye mgongo wa Ardhi, utamsikia anasema ''Mungu nisaidie" Mungu yupi unayemuomba akusaidie ilihali huamini uwepo wa Mungu?.
Usamehewe bureMungu hayupo. Angekuwepo tusingekua tunapata shida hizi Duniani.
Na kama yupo na akatengeneza haya matatizo basi hana akili.
unaelewa maana ya neno amen?Eimeen,.
AMINA.. na kila Atakae Amini Ataokoka.Bila kujalisha matokeo mabaya yanayowakumba wanadamu, hayamzuii Na Wala hayamuondolei Mungu utukufu Na ukuu wake. Yeye yuko ambaye yuko na atakuwepo milele Na milele
hivi nyinyi watu weusi nani kawaroga?Mtoa mada hongera sana kwa uchambuzi wako mzuri sana.....huu uchambuzi kibinadamu umeweza kukupa uelekeo wa uwepo wa Mungu je ukiingia kiroho itakuwaje?
"Nyani Ngabu,
Nimesoma comment yako naomba nikusaidie ufahamu kidogo kuhusu huyu Mungu anaetajwa na tunaemwamini kwa ajili ya utukufu wake,
Nilichoona kwako unamtaka Mungu katika flesh yani kama unavyomuona Nyani Ngabu ndivyo unataka umuone Mungu hakika kwa aina hiyo hutamuona Mungu kwa sababu Mungu ni roho, tokea msingi wa kuumbwa kwa ulimwengu huu roho ya Mungu na neno ndiyo iliyoyafanya haya tuyaonayo na kuyabeza.....soma Mwanzo 1:2 nanukuu "Nayo nchi ilikuwa ukiwa tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.3 Mungu akasema iwe nuru ikawa nuru" ukiendelea utaona vile uumbaji ulivyoendelea hapa nilitaka kukuonyesha tu kwamba Mungu ni roho.
Ili umwelewe Mungu na matendo yake unahitaji kumtafuta kwa roho...Soma Yohana 4:24 Mungu ni roho nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli, kweli ambayo ni neno lake.
Mapungufu uliyosema ya Mungu sijayaona ila mapungufu ni yakwetu sisi wanadamu kwa kuliacha pendo lake na kuasi. Utaniuliza kwa nini sasa Mungu aumbe mwanadamu ambaye atamuasi. Kwanza ufahamu kwamba Mungu hakuanza kuwepo baada ya kuumbwa kwa dunia la hasha... Mungu alikuwepo kabla hata dunia haijaumbwa, ukisoma Mwanzo Hiyo hiyo Mwanzo 1:26 Inasema Natumfanye mtu kwa Mfano wetu......naomba uchukue neno wetu alafu ujiulize kwanini wetu na si wangu? Neno la pili ni Mfano linamaana gani kwa nini si kama mimi? Hii inadhihirisha sisi ni kama kopi ya Mungu na neno wetu inadhihirisha kwamba mbinguni walikuwepo zaidi ya maelfu ya malaika wake ambao ndio alisaidiana nao katika uumbaji. Kama ningetumia tafsiri nyingine ningesema Mungu ndo alikuwa Engineer mkuu na maelfu au mabilioni ya malaika wake walikuwa kama wasaidizi. Inaonyesha ni kiasi gani Mungu ana uwezo na nguvu kusimamia mradi mkubwa namna hii design na kumpliment project kubwa hivi si kazi ndogo ilikuwa ni day and night mpk siku ya saba ndipo alipopumzika ebu kuweni na adabu kidogo mumheshimu na mumpe sifa zake Mungu mimi nitakupa sifa zote kwa ukuu wako mana hata Nyani Ngabu ni kazi yako iliyonjema sana. Uumbaji wa Mungu si sawa na hivi Viproject vyetu ambavyo hata wakati mwingine tunashindwa kudeliver matokeo mazuri. Hii mada ni pana sana natamani kushare nanyie kwa kadri Mungu atakavyonijalia sema sijui kufungua uzi niwe mkweli najua nijamaliza kujibu maswali yako naomba niendelee kukujibu kidogo kidogo ili nisiharibu uzi wa mwenzangu barikiwa sana.
nani atakuokoa?AMINA.. na kila Atakae Amini Ataokoka.
Muhimu nimefurahi kusikia unamwamini Mungu the supernatural spirit.. The rest yatabaki kuwa yako.hivi nyinyi watu weusi nani kawaroga?
yani unaamini hadithi za kitoto za kwenye hayo maandishi yanayoitwa biblia?
ndio maana tunafoutiana kuhusu mungu
wengine mnaposema mungu yupo mnakuwa mnamaanisha yesu ndio mungu...pitiful
Amina... Pumzi ikitaka kuwakimbia wanatoa macho kama ndege john.kuna watu wanataka wajifurahishe jf kwa kumpinga Mungu ila weng wao wanafanya hvyo kwa hofu kubwa, bahat mbaya unawafurahsha ambao hawana msaada kwako.
wewe unamaanisha nani ambaye Yupo.hivi nyinyi watu weusi nani kawaroga?
yani unaamini hadithi za kitoto za kwenye hayo maandishi yanayoitwa biblia?
ndio maana tunafoutiana kuhusu mungu
wengine mnaposema mungu yupo mnakuwa mnamaanisha yesu ndio mungu...pitiful
Kuhusu Mamba? Mungu hafanyi kazi kwa hisia za "Mungu wake atamlinda". Hata ivo Akiwa kama mchungaji , je unaijua imani yake alonayo?? Nani alijua yaliyoko nyuma yake???Ukisoma kitabu cha mwanzo kwa umakini Mwanzo 1:1 -31 utagundua roho wa Mungu na neno ndivyo vilivyotangulia kuumbwa hata binadamu (Mtu) ilianza kuumbwa roho kwa maneno ya roho wa Mungu. Sisi wanadamu ni roho zilizopewa mwili kizungu wanasema spiritual being living in flesh.... kwamba kama roho ndio inayoacha mwili ndipo tunapopata kitu kinaitwa kifo bila roho kuacha mwili hakuna kifo. Nisiende sana huko ukija kwenye Mwanzo 2 : 4 inasema nanukuu ...Hivyo ndivyo vizazi vya mbingu na nchi zilipoumbwa. Siku ile Bwana Mungu alipoziumba mbingu na nchi 5 hapakuwa na mche wa kondeni bado wala mboga ya kondeni haijachipuka bado .... hapa nataka mpate picha halisi ya nini kilifanyika kitabu cha mwanzo 1 kinaelezea uumbaji ulivyoanza ulianza kwa neno mpka siku ya saba Mungu anapumzika alikuwa ameshafanya uumbaji wote kimaanisha kiroho kila kitu kilikuwa kimeshaumbwa ilibaki uumbaji ule kuja kwenye mwili...yani physical realm yani sijui kama mnanielewa...... Roho mtakatifu tufundishe. Huo ni ufupisho kidogo japo natamani kuendelea sasa turudi kwenye swali la kwanini Mungu anaruhusu mabaya yapate wanadamu.
Mimi nianze kukuliza wewe tufanye uumbaji huu ni project yako je utaruhusu mtu yoyote kufanya matumizi yasiyosahihi yaliyokinyume na madhumuni yako? Natumai jibu ni hapana je ni sahihi Mungu kukasirika? Kama wewe ni mzazi utaelewa vile ambavyo mtoto wako akimisbehave kile ungefanya kuna tofauti gani Kwa Mungu wakati si ni mfano wake? Ni vibaya Baba kumrudisha mtto wake katika njia impasayo? Majaribu ni mtihani wetu ili kutupeleka kiwango kingine.......katika kila jambo Mungu huliachilia huwa ni namna yake yakuzungumza na sisi inategemea wewe unaliangaliaje? Wakati mwingine anaongea baraka kupitia machungu kipimo chako cha kuvumilia na kutambua Mungu anasema nini ndicho kitakachokusaidia kuvuka......(nimekatisha hili pia mana ni mada pana)
Kwanini Mchungaji aliliwa na mamba wakati alikuwa nafanya kazi yake......(God is still saying something) kwa akili zangu za kawaida ningejiuliza je kazi hiyo aliyokuwa anafanya ya kubatiza watu alikuwa anamfanyia Mungu yupi? Kama ni Mungu huyu muumbaji Ningejiuliza je alipata kibali? Is it God will or it was his will .....bado kuna vitu vingi ambavyo sisi hatujui lakini Mungu yeye anajua itusaidie tu kujua Mungu hashindwi kuokoa....