Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

Na ni mlaji mzuri sana wa Kitimoto

Dah... umenikumbusha mzigo niliosaga jana...

kitimoto_0.JPG
 
Wapedwa tusiwe na wasiwasi juu ya Imani yetu kwa MUNGU.pia MUNGU hawezi kukudai mambo makubwa ambayo huna kumbe kidogo tulichonacho tukifanyie kazi .

Kumjua kumpenda na kupendana ss kw as basi hayo ya kuchokonoa na kutafiti kutaka kujua kila kitu kama yeye(MUNGU) Ndio ulikua mwanzo wa uasi /Muasi/Ibilisi/Shetani
 
Ngoja kwanza nivute hii pumzi ya Bure kabisa nione watu wanavyojikanyaga hapa.

Kibaya zaidi mtu akiugua tu kajipu akaanza kushindwa kufanya ujeuri wake kwenye mgongo wa Ardhi, utamsikia anasema ''Mungu nisaidie" Mungu yupi unayemuomba akusaidie ilihali huamini uwepo wa Mungu?.
Ha haha ha hahaaaa.... anasema hivyo kwakuwa tangu utotoni mwake amekarilishwa kusema hivyo...anawaona watu wanaomzunguka "" wakifikwa na mitihani huwa wanasema hivyo pia...." "kama binaadamu huyo angetekelezwa msituni akiwa tangu mtoto mchanga then akabaahatika kukua "" unadhani akiumwa atakuwa ana sema Mungu nisaidie....""??
 
Namwamini Mungu wangu muumba mbingu na nchi kwa kuniamsha salama kila siku iitwayo leo, amekuwa mwema sana kwangu anayonitendea ni zaidi na ninayostahili

Kuna mda nakwenda tofauti na mipango yake lakini ananisamehe na kunipa nafasi nyingine

Sina cha kukulipa Mungu wangu zaidi ya kulitukuza na kulisifu jina lako
 
"Mimi Niko ambaye Niko" milele iliyopita na milele ijayo" huyu ndiye Mungu ninaye muamini Mimi..
Hugo mungu Yuko wapi wakati viumbe wake watiifu wanakifa kwa Shida, njaa na majanga mbakimbali
 
Ngoja kwanza nivute hii pumzi ya Bure kabisa nione watu wanavyojikanyaga hapa.

Kibaya zaidi mtu akiugua tu kajipu akaanza kushindwa kufanya ujeuri wake kwenye mgongo wa Ardhi, utamsikia anasema ''Mungu nisaidie" Mungu yupi unayemuomba akusaidie ilihali huamini uwepo wa Mungu?.
Wanaosema mungu nisaidie wanajipa tu matumaini na ndiyo maana bado wanakufa tu. Angekuwa yupo kweli basi angekomesha madhila yote ya dunia hii
 
kuna watu wanataka wajifurahishe jf kwa kumpinga Mungu ila weng wao wanafanya hvyo kwa hofu kubwa, bahat mbaya unawafurahsha ambao hawana msaada kwako.
We we mungu kakusaidia nini
 
Mungu hayupo. Angekuwepo tusingekua tunapata shida hizi Duniani.

Na kama yupo na akatengeneza haya matatizo basi hana akili.
Mungu hakumuumba Mwanadamu ili apate shida, tatizo mnaandika na kuongea vitu hamjui. Ni nini chanzo cha shida zote hizi Duniani??
Me nadhani wapagani, wachawi na waabudu mizimu muanzishe thread yenu hatuwataki humu!
 
Ninaamini katika Mungu. Ninaamini katika Yesu Kristo mwana wa pekee wa baba, Heri wote wenye mioyo safi maana watamuona Mungu.
Yesu huyu huyu aliyedundwa na viumbe wake?
 
Wapedwa tusiwe na wasiwasi juu ya Imani yetu kwa MUNGU.pia MUNGU hawezi kukudai mambo makubwa ambayo huna kumbe kidogo tulichonacho tukifanyie kazi .

Kumjua kumpenda na kupendana ss kw as basi hayo ya kuchokonoa na kutafiti kutaka kujua kila kitu kama yeye(MUNGU) Ndio ulikua mwanzo wa uasi /Muasi/Ibilisi/Shetani
Huyo bwana Yuko wapi?
 
Good day, Good people!

Hivi Karibuni kumezuka wimbi la nyuzi kibao hapa JF na zote zikipinga uwepo, uweza, na utendaji kazi wa Mungu. Kiukweli zimenifanya nikazama ndani kufikiri kwa kina zaidi juu ya uwezo wa Mungu na nimepata haya ya kuzungumza na kushare na nyinyi kidogo, ila ningependa kuona na nyie mkiandika sababu zinazowafanya kuamini Mungu yupo na ndie aliezitanda mbingu na nchi.

Iko hivi, Miaka michache iliyopita kumekuwa na wimbi la wanasayansi nguli waliokuwa "notorious atheist"(kindakindaki wasioamini mungu kabisa) kwa miaka kibao kuanza tena kuamini, kukubali na kukiri uwepo wa Mungu hadharani ila tukio maarufu zaidi lilikuwa la mwanasayansi mashuhuri alieshawishi watu wengi zaidi wamkane Mungu kuamua kumgeukia Mungu na kuandika kitabu nilichoambatanisha hapo chini jamaa anaitwa Mr Antony flew kuamua kukiri kwamba namnukuu "God is there and he is the master of the people and universe" But sababu kubwa kwao ilikuwa ni wao kutoka nje ya Dunia na kujionea maajabu mengi lukuki ambayo yaliwalazimu kuamini namna universe and Earth zinavyofunction kwa namna ya kustaajabisha yenye kufuata utaratibu naalumu wa laws and regulation za ajabu basi wakakiri kuna mystic higher spirit ambae ni best designer ever wao wanamwita "supreme being" mwenye uwezo wa ajabu sana, maana walichokiona ni kila kitu kinafanya kazi kwa mfumo wa laws of nature ambazo zina viashiria vya kuwekwa na mtu/roho kubwa maana haviwezekani kujipangilia vyenyewe katika usahihi wa kimfumo kama vile na kufuata utaratibu kwa usahihi kwa mabilion ya miaka bila kuparaganyika au kujikanganya. Cha kwanza;

Earth distance
Hawa wanasayansi waligundua kuna umbali sahihi kabisa Kati ya jua na Dunia.. Na ingetokea Dunia ingesogea kidogo kuelekea jua lilipo basi Dunia ingeungua sana na pia ingetokea Dunia ingesogea mbele kidogo tu kuliacha jua basi Dunia ingekuwa na barafu jingi sana Kwa kukosa joto na isingeruhusu maisha yawepo lakini kaiweka umbali sahihi na lilipo jua ili ipozwe na kuchemshwa na jua la wastani. Haiwezi kutokea out of nowhere there must be designer wa kufanya haya. Na pia unajua dunia ikisimama kwa sekunde moja inakuwaje? Wote tutavurumushwa hadi kwenye sayari ya Jupiter tukafie huko maana inatembea kwa kasi...but kwa miaka dahari Dunia haijawahi kusimama maana ikisimama Kwa kasi inayoenda basi miili yetu itaokotwa Jupiter. Sijui unanielewa hapa!? Ni kwa huruma tu ya Mungu anaiacha inazunguka dearly kwa Upendo wake for billions of years. Ninashukuru Mungu kwa hili.

Earth size
Sikia hii unajua kwamba hii size ya dunia ndio sahihi na salama kwa maisha yetu sababu inafanya dunia iwe na mchanganyiko sahihi wa gas za oxygen na nitrogen kiasi kinachosuport maisha Duniani hili viumbe tuishi. Dunia ingekuwa ndogo tu basi kungekuwa na kiasi kikubwa sana cha hydrogen hivyo kusababisha maisha yasiwezekane hapa Duniani. Kama ambavyo ukienda mile 50 juu ya uso a dunia huipati hii perfect gas mixture ya Duniani. Hayajajileta haya yote kafanya Mungu wetu kwa uweza wake mkuu sana.

Brain,
Ubongo unavyofanya kazi unathibitsha jinsi Mungu alivyo na uweza wa ajabu...unajua ubongo unachakata taarifa zaidi ya million kwa sekunde kwa wakati mmoja yaani simultaneously. Haya ni maajabu yaliyopitiliza akili na uwezo wa kibinadamu kufahamu nini kisababishi cha haya yote. Maana ubongo unaweza kuwa unafiri kingine, then hapo hapo ubongo unapima mapigo ya moyo, unapima temperature ya pale chini ulipokanyaga, unatafsiri harufu mbalimbali, e.t.c

DNA code informs,
Hii ndio imewafanya kila mtaalamu Duniani anaesoma biology kushangaa akili kubwa isiyomithilika iliyotumika kwenye Ku code zile DNA kwenye cell maana kila cell ina billion of DNA zilizokuwa coded kwa usahihi na uwezo wa hali ya juu zikitunza taarifa za kila mmoja kwa usahihi Zinazothibitsha kuna kazi ya akili sana imefanyika...nani nafanya hapo sasa ndio wanasayansi wanarudi mezani na kukiri uwepo wa "mystical supreme spiritual being" God, Wanakwambia hata tupewe miaka billion hatuwezi kufanya coding ya DNA hata kwa mtu mmoja kamwe na hakuna kiumbe binadamu aliezaliwa na mwanamke anaeweza kufanya hii kazi. Nani kafanya sasa hii kazi..wenyewe huwa wanajijibu kwamba "there is supreme being spirit" who coded this DNA. Maana hata kwenye computer lazma kuwe na mtu wa kufanya code ili computer ifanye kazi unless hautakuwa computer...!

Na maelezo ya DNA yanathibitisha Mungu anatujua sote zaidi tujijuavyo sisi wenyewe maana kila mtu kamuumba kwa utofauti wa kipekee sana. Tumuheshimu Mungu.. Kuna jamaa humu alimwita eti "Mungu zuzu" C'mooooon guys hiki kiburi cha maisha ya Duniani kisitupe jeuri ya kumdhiaki na kumtukana Mungu...tumuheshimu Mungu!! kama baba yako tu asie na uungu wowote anataka heshima basi hopefully Mungu atakuwa zaidi yake...let give him thanks and praises he won't deceive us.

Hayo ni baadhi tu, kuna mengi yanayo tuthibitishia Mungu anaishi...ana uweza..na yupo.

View attachment 795233View attachment 795234View attachment 795235View attachment 795236
Mimi watu hawa wapingao Mungu ,wala hawanipi Homa,kwa maana hizi ndo nyakati za Mpinga Kristo.

Wasiwaumize sana ,Mungu wetu hajalala na hayupo likizo , Kwakua kila jambo nawakati wakati wake ,basi aminin hawa wampingao siku yao pia ipo !!! ..

Ushahidi ni huu KATIKA KITABU CHA WARUMI 14:11 neno la Mungu linasema " Kwakua Imeandikwa ,kama niishivyo, Anena bwana.*KILA GOTI* LITAPIGWA MBELE YANGU NA *KILA ULIMI* UTAMKIRI MUNGU .

WAFILIPI 2:10-11 inasema " ILI KWA JINA LA YESU KILA GOTI LIPIGWE, ( goti la aina gan??anaendelea) LA VITU VYA MBINGUNI (kumbe malaika nao wanapiga magoti[emoji122]) NA VYA DUNIANI( sisi wanadamu) , NA VYA CHINI YA NCHI . NA KILA ULIMI UKIRI KUA YESI KRISTO NI BWANA KWA UTUKUFU WA MUNGU BABA".


Kutoka kwangu...Ili mradi umeumbwa kwa udongo na pumzi aloitoa yeye Mungu. Basi utaruka ruka weeeee, utaruka rukaaaaaaaa utaruka weeeeeee LAKINI IPO SIKU GOTI LAKO LITAPIGWA.

Niwashaur kitu kwasisi tunaoamin Mungu... Hawa watu ni wapotoshaji wa hali ya Juuu, ukiwa mjinga na wakuyumbishwa wakutoa ktk imani yao... Bahati mbaya Hawa watu huwa wakikaribia KUFA wanaomba Mungu awasamehe na tunawazika Kikristo, kwaiyo unajikuta siku ya siku Anaenda Mbinguni , Huku wewe alokupoteza unabaki.

Kuweni makini..... Mungu atawashugulikia ,kwakua yeye sio kigeu geu ,na alishasema Kila goti litapigwa.

A REAL MAN WORSHIP !!! A REAL MAN WORSHIP, ........ MWANAMKE UONAPO MWANAMME WAKO HAKUONGOZI KTK UKUU WA MUNGU ,HUYO NI WAKUMKIMBIA KAMA UKOMA ,KWAKUA KUANZIA WEWE MPAKA WANAO WATAPOTOSHWA KWA UPUUZI WAKE.......eti bidada naye anasema "Nampenda Mume-Shetani wangu" [emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Back
Top Bottom