Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Jibu maswali niliyo kuuliza. Kisha nitajibu hiki unachouliza. Twende kwa utaratibu ili mjadala ulete maana.
 
Ndio maana pia tunasema mnaleta habari za UONGO kuhusu huyo Mungu.

Mungu huyo hajawahi kuwepo, hayupo na wala hawezi kuwepo kujiongelea mwenyewe.

Ni ninyi mnawashwa washwa kumuongelea Mungu Mdhaifu ambaye Kashindwa kuja kujiongelea mwenyewe..😄
 
Hili litafata, tumalize lile ulilo lianzisha wewe kwanza. Kuhusu Nomino Dhahania.

Njaa ni kitu cha kufikirika ?
 
Mengi tu mfano kutengezwa kwa mvua, vyanzo vya mafuriko, matetemeko ya Ardhi n.k, vitu ambavyo mwanzoni tulijua vinaletwa na Mungu, lakini sayansi imeonyesha haviletwi na Mungu
 
Kijana Jenga hoja, acha mipasho Sasa.

Time nayo ni Nomino Dhahania ? Maana unanichanganya sana ujue ?

Unapodai kitu fulani ni uongo unatakiwa ulete ukweli wake kwa ushahidi.

Usikimbie maswali niliyo kuuliza.
 
Jibu maswali niliyo kuuliza. Kisha nitajibu hiki unachouliza. Twende kwa utaratibu ili mjadala ulete maana.
Maswali yako ni ya uongo kwa sababu yamejengwa kwenye uongo wa Mungu ambaye hayupo kujiongelea mwenyewe.

Sasa huoni kwamba habari zako kutaka kumuongelea huyo Mungu ni za uongo?

Mwambie huyo Mungu wako aje hapa mwenyewe ajiongelee, sio wewe kutaka kumuongelea.
 
Kijana Jenga hoja, acha mipasho Sasa.

Time nayo ni Nomino Dhahania ? Maana unanichanganya sana ujue ?

Unapodai kitu fulani ni uongo unatakiwa ulete ukweli wake kwa ushahidi.

Usikimbie maswali niliyo kuuliza.
Siwezi jenga hoja kwenye habari za uongo za wewe kutaka kumuongelea Mungu Mdhaifu ambaye hayupo kujiongelea mwenyewe.

Mwambie huyo Mungu aje hapa mwenyewe ajiongelee yeye kama yeye.
 
Mengi tu mfano kutengezwa kwa mvuo, vyanzo vya mafuriko, matetemeko ya Ardhi n.k, vitu ambavyo mwanzoni tulijua vinaletwa na Mungu, lakini sayansi imeonyesha haviletwi na Mungu

Ndio maana nikasema wewe ni shabiki wa Sayansi, sio mfatiliaji wa Sayansi.

Tuambie mvua inatengenezwa vipi kwa mujibu wa Sayansi. Na unapo ongelea hilo hakikisha unafata zile "Scientific Method" ili tupime hayo maelezo yako ni ya Kisayansi. Hapa najua utarudi katika ule utoto wenu wa michoro kabisa ya juu mvua inavyotengenzwa na hapa inabidi ujiandae kujibu maswali nitakayo kuuliza.
 
Siwezi jenga hoja kwenye habari za uongo za wewe kutaka kumuongelea Mungu Mdhaifu ambaye hayupo kujiongelea mwenyewe.

Mwambie huyo Mungu aje hapa mwenyewe ajiongelee yeye kama yeye.

Huku bado hatujafika tetea kile ukichokiandika.

Unajua mpaka muda huu bado sijaanza kumuongelea Mungu.

Yaani najenga hoja kwa kile unacho kiandika wewe. Sasa kama unashindwa kukitetea unachokiandika kwanini unajadiliana ?
 
Unajua hapa naongelea suala ambalo wewe umelileta na ukadai Njaa ni katika Nomino Dhahania na haipo kiuhalisia na ukaenda mbali ukasema ni vitu vya kufikirika ?

Au husomi unayo yaandika ?
 
Hujajibu swali, Do you believe kama dark matter ipo??????
Dark matter ipo na inapimika ipo.
[If you know logics, huwezi kusema Mungu hayupo simply kwasababu hujamuona. That's absurd]
Mungu ni nini?

Kabla ya kutaka kusema Mungu yupo au hayupo first lazima uwe na definition ya Mungu.

Hata dark matter definition yake ipo.
Mimi na wewe tunatakiwa kuleta premises zilizofanya tufikie conclusion kama yupo au hayupo. Nimeanza na swali langu nijibu
Kwanza, Anza kwa kutoa definition ya huyo Mungu ndipo tujue yupo ama Hayupo.

Huwezi kuongelea kitu ambacho hata hujui ni nini.
Pia ntahitaji na wewe unitengenezee logic iliyokufanya ukonclude kama hayupo (I suppose miongoni mwa premises zako ni kwamba hayupo kwasababu huwezi kufeel, kumuona, kumpima, kumsikia is it?? So do you believe in dark matter??? )
Dark matter ipo na ina occupy space ndio maana imeweza kupimika ipo.

Sasa huyo Mungu ni nini?
 
Huku bado hatujafika tetea kile ukichokiandika.

Unajua mpaka muda huu bado sijaanza kumuongelea Mungu.

Yaani najenga hoja kwa kile unacho kiandika wewe. Sasa kama unashindwa kukitetea unachokiandika kwanini unajadiliana ?
Unahangaika kumuongelea huyo Mungu, kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe.

Automatically habari zako za kutaka kumuongelea huyo Mungu niza uongo kwa vile huyo Mungu hawezi na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe.
 
Kwa hivo unataka nikueleze mvua inavotengenezwa, badala ya kujibu hoja ya wewe kuthibitisha uyo Mungu wako yupo!. Huoni kama unakuwa unabadilisha mada?
 
Wewe ndo utakuwa wa kwanza kupima dark matter, na ndo wa kwanza kuona kama inaoccupy space. Kafanye research tena kuhusiana na dark matter alafu uje uniambie unaamini ipo au haipo
 
Hoja yako ni nzito sana
 
Wewe ndo utakuwa wa kwanza kupima dark matter, na ndo wa kwanza kuona kama inaoccupy space. Kafanye research tena kuhusiana na dark matter alafu uje uniambie unaamini ipo au haipo
Iyo Dark matter imegundulika na Wana sayansi, na wanasema ni kwasababu Ina interact na gravity. Kwa hivo ni kitu Cha uhalisia, kimethibitishwa kisayansi
 
Default position inaonyesha yupo, Dunia na kila kitu mawe na milima, Balance of nature

nani ana control ? thibitisha kia hakuna anae control, kwamba vipo tuu thibitisha inakuajekuaje kwamba vipo tuu
Hapo unaongelea madai bado hujathibitisha
 
Iyo Dark matter imegundulika na Wana sayansi, na wanasema ni kwasababu Ina interact na gravity. Kwa hivo ni kitu Cha uhalisia, kimethibitishwa kisayansi
Hakuna aliyethibitisha, it's just a theory science imejaribu kuelezea otherwise hakuna kitakachoweza kuelezea kwanini galaxies are not pushed away by the centrifugal force
 
Ungesoma maelezo yote usingeandika hiki ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…