Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sasa kama huwezi kuthibitisha Mungu yupo basi eliminate dhana nzima ya kumtaja huyo Mungu kwa sababu umeshindwa kuthibitisha Mungu huyo ni nini?Rekebisha hapo kwenye kuthibitisha, hapa tunajaribu kujenga logics then tuone ipi inamake sense, hakuna anayeweza kuthibitisha kama Mungu yupo au hayupo.
Muonyeshe yupo sasa?(still haioneshi kama hayupo, to this point we were all supposed to be neutral)
Unakomaa kusema "still haioneshi kama hayupo" halafu kumuonesha huyo Mungu yupo huwezi na umeshindwa.
Huoni kwamba unafosi mawazo yako tu yasiyo na uthibitisho wowote ule?
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.Sasa argument ianze kwa wewe kujenga logics zako kwamba hayupo [nanukuu, ulisema kwasababu hatuna definition ya Mungu, I discarded your logic kwamba haimake sense. Kutokuwa na definition haioneshi kwamba hayupo], let suppose a cat is in the box (kimya na box imefungwa), There's no way to say 'hakuna paka ndani ya lile boksi unless tulifungue' labda uwe mwendawazimu
Tukija kwenye logic yangu, I suppose you know about galaxies and how they spin. Unahisi kuna mass ya kutosha kutoa gravity ya kubalance centrifugal force ya galaxies (Rem, universe is mostly empty space) Science says kuna invisible matter (dark matter) yenye inaprovide hii sufficient gravity ya kushikilia galaxies.
My question, wewe unaamini uwepo wa hii dark energy? [NDIYO, HAPANA]
Time, space, matter, universe na vitu vyote vinapimika vipo na vingine vinaonekana, vinasikika, vinashikika na kuhisika na kwa namna hizi zote huweza kutambulisha vipo.
Sasa huyo Mungu Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, Haisiki na wala hapimiki kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Mungu huyo ni mawazo na mafikirio tu, Hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Mungu huyo ni imaginations just an illusion.