Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Rekebisha hapo kwenye kuthibitisha, hapa tunajaribu kujenga logics then tuone ipi inamake sense, hakuna anayeweza kuthibitisha kama Mungu yupo au hayupo.
Sasa kama huwezi kuthibitisha Mungu yupo basi eliminate dhana nzima ya kumtaja huyo Mungu kwa sababu umeshindwa kuthibitisha Mungu huyo ni nini?
(still haioneshi kama hayupo, to this point we were all supposed to be neutral)
Muonyeshe yupo sasa?

Unakomaa kusema "still haioneshi kama hayupo" halafu kumuonesha huyo Mungu yupo huwezi na umeshindwa.

Huoni kwamba unafosi mawazo yako tu yasiyo na uthibitisho wowote ule?
Sasa argument ianze kwa wewe kujenga logics zako kwamba hayupo [nanukuu, ulisema kwasababu hatuna definition ya Mungu, I discarded your logic kwamba haimake sense. Kutokuwa na definition haioneshi kwamba hayupo], let suppose a cat is in the box (kimya na box imefungwa), There's no way to say 'hakuna paka ndani ya lile boksi unless tulifungue' labda uwe mwendawazimu
Tukija kwenye logic yangu, I suppose you know about galaxies and how they spin. Unahisi kuna mass ya kutosha kutoa gravity ya kubalance centrifugal force ya galaxies (Rem, universe is mostly empty space) Science says kuna invisible matter (dark matter) yenye inaprovide hii sufficient gravity ya kushikilia galaxies.
My question, wewe unaamini uwepo wa hii dark energy? [NDIYO, HAPANA]
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Time, space, matter, universe na vitu vyote vinapimika vipo na vingine vinaonekana, vinasikika, vinashikika na kuhisika na kwa namna hizi zote huweza kutambulisha vipo.

Sasa huyo Mungu Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, Haisiki na wala hapimiki kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Mungu huyo ni mawazo na mafikirio tu, Hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Mungu huyo ni imaginations just an illusion.
 
Sasa kama huwezi kuthibitisha Mungu yupo basi eliminate dhana nzima ya kumtaja huyo Mungu kwa sababu umeshindwa kuthibitisha Mungu huyo ni nini?

Muonyeshe yupo sasa?

Unakomaa kusema "still haioneshi kama hayupo" halafu kumuonesha huyo Mungu yupo huwezi na umeshindwa.

Huoni kwamba unafosi mawazo yako tu yasiyo na uthibitisho wowote ule?

Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Time, space, matter, universe na vitu vyote vinapimika vipo na vingine vinaonekana, vinasikika, vinashikika na kuhisika na kwa namna hizi zote huweza kutambulisha vipo.

Sasa huyo Mungu Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, Haisiki na wala hapimiki kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Mungu huyo ni mawazo na mafikirio tu, Hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Mungu huyo ni imaginations just an illusion.
Hujajibu swali!
Narudia "Hakuna anayewezesha kuthibitisha kama yupo au hayupo, hata wewe unayesema hayupo huwezi kuthibitisha"
Turudi kwenye swali langu, Do you believe in existence of dark matter?, no body can measure it, feel it or doing anything with sense organs and for this, according to your arguments hauamini kama ipo, should I conclude that??? [NDIYO, HAPANA]
 
Nakwambia hivi, Mwambie huyo Mungu wako aje hapa mwenyewe kujizungumzia yeye kama yeye.

Unahangaika sana kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.
Jibu maswali niliyo kuuliza. Usikimbie na kuruka ruka.

Hapo bado sijamuongelea unakimbia, nikija kumuongelea ujue nakuja kufunga mjadala.

Hapo nimekuuliza maswali kwa kile ukichokiandika wewe. Unaanza kusema namuongelea Mungu. Wewe si umeleta habari za Nomino Dhahania, Sasa jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Nitahakikishaje habari za huyo Mungu niza kweli ilhali Mungu huyo hawezi kuja hapa kujidhihirisha mwenyewe na kujiongelea mwenyewe?

Huoni kwamba unahangaika kuongelea kitu kisichokuwepo kujiongelea chenyewe!!
 
Jibu rahisi hapo ni kwamba, mtu yeyote atayeleta madai anakuwa na jukumu la kuthibitisha burden of proof

Unaposema Mungu hayupo, hayo nayo ni madai. Lazima utakuwa na ushahidi wa hilo.

Sasa hiki kichaka kila siku mnajificha kwacho. Bali wakati mwingine anaye kanusha hutarajiwa kuwa na ujuzi zaidi wa jambo hilo, ndio maana hutangulizwa.

Wewe unaye kanusha unatangulizwa kuthibitisha juu ya kutokuwepo Mungu.
 
Nitahakikishaje habari za huyo Mungu niza kweli ilhali Mungu huyo hawezi kuja hapa kujidhihirisha mwenyewe na kujiongelea mwenyewe?

Huoni kwamba unahangaika kuongelea kitu kisichokuwepo kujiongelea chenyewe!!

Kijana jibu kwanza maswali niliyo kuuliza, huku tutafika.

Ndio maana huwa naona ni kupoteza muda kujadiliana na watu wanao fikiria kitoto kama wewe.

Tumalize suala Moja kabla ya hilo kingine, hilo tutalifikia.
 
Jibu maswali niliyo kuuliza. Usikimbie na kuruka ruka.

Hapo bado sijamuongelea unakimbia, nikija kumuongelea ujue nakuja kufunga mjadala.

Hapo nimekuuliza maswali kwa kile ukichokiandika wewe. Unaanza kusema namuongelea Mungu. Wewe si umeleta habari za Nomino Dhahania, Sasa jibu maswali niliyo kuuliza.
Huyu jamaa ni janja janja tu, hawezi kujenga hoja anachokifanya ni kukupachikia anachokiamini yeye. Atheist wengi ni brainwashed hawawezi kufikiria wala kujenga hoja, shida yao wanafikia kwenye conclusion Mungu hayupo, ukimuuliza alifikaje hana majibu
Hawa jamaa ni kama wale wa Non-binary tu hawanaga hoja za msingi
 
Hujajibu swali!
Narudia "Hakuna anayewezesha kuthibitisha kama yupo au hayupo, hata wewe unayesema hayupo huwezi kuthibitisha"
Mimi sidai kwamba Mungu huyo yupo, Unayedai Mungu huyo yupo ni wewe.

Mimi napinga madai yako ya kusema Mungu yupo, kwa vile mimi sidai.

Sasa wewe ndiye unayepaswa kuthibitisha madai yako.

Dhana nzima ya Mungu ume ianzisha wewe unayedai yupo, Sasa thibitisha dhana yako!
Turudi kwenye swali langu, Do you believe in existence of dark matter?, no body can measure it, feel it or doing anything with sense organs and for this, according to your arguments hauamini kama ipo, should I conclude that??? [NDIYO, HAPANA]
Dark matter ina pimika ipo au haipo?
 
Huyu jamaa ni janja janja tu, hawezi kujenga hoja anachokifanya ni kukupachikia anachokiamini yeye. Atheist wengi ni brainwashed hawawezi kufikiria wala kujenga hoja, shida yao wanafikia kwenye conclusion Mungu hayupo, ukimuuliza alifikaje hana majibu
Hawa jamaa ni kama wale wa Non-binary tu hawanaga hoja za msingi

Siyo huyo tu peke yake, wote humu ambao wanakana uwepo wa Mungu. Huwa wanakimbia kujibu maswali, waoga na hawajui hata matumizi ya maneno.

Kuna muda hata kujadiliana nao unaona ni kupoteza muda, sema tunakuja sababu wanaendeleza ujinga wao.

Wepesi mno kwenye hoja, ndio maana huwa tunasema wana matatizo ya akili.
 
hilo swali ni la ki jinga sanasiku espect kwamba anaweza kua na maana hiyo ndo maana nikauliza anamaanisha nini anavyosema problem of evil,

pia kila mara narudia bado hatujaingia kwenye dini yoyote, tuna verify tu kwanza kua Mungu yupo mbali na maandiko ya Dini, kwasababu Mungu ni zaidi ya dini yoyote ile,

kwanini unaingiza concept ya mema na mabaya wakati huu mjadala hauja base kwenye Dini Bado,

Dini ilikuja Baadae sana, kwaiyo tukishakubaliana Mungu yupo, ndo Dini ifuate na tuanze kuchambua maswala ya dini kama hayo unayoyaita "mema na mabaya"
Toa jibu, na wengne tuelewe, na hapa hatujaingiza dini, tunauliza tu, kama Mungu kweli yupo kwanini Kuna mema na mabaya?
 
Kijana jibu kwanza maswali niliyo kuuliza, huku tutafika.

Ndio maana huwa naona ni kupoteza muda kujadiliana na watu wanao fikiria kitoto kama wewe.

Tumalize suala Moja kabla ya hilo kingine, hilo tutalifikia.
Hata mimi naona ni kupoteza muda kujadilina na watu kama wewe ambao mnahangaika kumuongelea huyo Mungu ambaye hawezi kuja hapa kujidhihirisha na kujiongelea mwenyewe.

Mnajaribu kuongelea kitu ambacho hata hakiwezi kuja hapa kujidhihirisha chenyewe..😄
 
Mimi naamini sayansi na sio Mungu, sayansi inafanya tafiti na inatupatia majibu.. lakini dini tangu zianzishwe zenyewe zimebobea kwenye kutoa sababu, kiongozi wa dini atakwambia, "Hatukucheza vizuri mziki wa mvua kama Mungu anavyotaka, Ili atupatie mvua, ndo maana mvua haijanyesha". Badala ya kukubali tu kuwa huyo Mungu hayupo, na Biblia na Quran ni vitabu vilivyotungwa na wanadamu, wenye imagination tu, lakini sio vya kweli.

Wewe unaamini Sayansi sababu ni shabiki wa Sayansi na sio mtafiti wa Sayansi.

Siku ukijua misingi ambayo Sayansi imejengeka kwayo utajilamu.

Kingine Sayansi haipo kwa ajili ya kukupa ukweli sababu si kamilifu.

Majibu gani sahihi ambayo Sayansi imekupa ?
 
Hata mimi naona ni kupoteza muda kujadilina na watu kama wewe ambao mnahangaika kumuongelea huyo Mungu ambaye hawezi kuja hapa kujidhihirisha na kujiongelea mwenyewe.

Mnajaribu kuongelea kitu ambacho hata hakiwezi kuja hapa kujidhihirisha chenyewe..😄
Jibu maswali niliyo kuuliza.

Unapoteza maana ya mjadala kijana. Sasa huwa unajadiliana ili iweje ?

Leo nimesema nipite mapitio yenu nayo pia huyawezi.
 
Huyu jamaa ni janja janja tu, hawezi kujenga hoja anachokifanya ni kukupachikia anachokiamini yeye.
Sasa wewe una ambiwa uthibitishe Mungu huyo anayedai yupo, halafu huwezi.

Unataka kufosi imani zako uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule ziwe kweli.
Atheist wengi ni brainwashed hawawezi kufikiria wala kujenga hoja, shida yao wanafikia kwenye conclusion Mungu hayupo, ukimuuliza alifikaje hana majibu
Hawa jamaa ni kama wale wa Non-binary tu hawanaga hoja za msingi
Theists wengi kama wewe ndio brainwashed mmeaminishwa na kupumbazwa dhana uchwara ya "Mungu" ambayo hata kuithibitishia ipo hamuwezi.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kujiridhisha wala kujiongelea mwenyewe.
 
Mimi sidai kwamba Mungu huyo yupo, Unayedai Mungu huyo yupo ni wewe.

Mimi napinga madai yako ya kusema Mungu yupo, kwa vile mimi sidai.

Sasa wewe ndiye unayepaswa kuthibitisha madai yako.

Dhana nzima ya Mungu ume ianzisha wewe unayedai yupo, Sasa thibitisha dhana yako!

Dark matter ina pimika ipo au haipo?
Hujajibu swali, Do you believe kama dark matter ipo??????
[If you know logics, huwezi kusema Mungu hayupo simply kwasababu hujamuona. That's absurd]
Mimi na wewe tunatakiwa kuleta premises zilizofanya tufikie conclusion kama yupo au hayupo. Nimeanza na swali langu nijibu
Pia ntahitaji na wewe unitengenezee logic iliyokufanya ukonclude kama hayupo (I suppose miongoni mwa premises zako ni kwamba hayupo kwasababu huwezi kufeel, kumuona, kumpima, kumsikia is it?? So do you believe in dark matter??? )
 
Toa jibu, na wengne tuelewe, na hapa hatujaingiza dini, tunauliza tu, kama Mungu kweli yupo kwanini Kuna mema na mabaya?
siwezi kutumia approach ya dini kufafanua alafu wewe unatumia aproach ya sayansi

ni kama vile moja anaongea kichina mwingine anaongea kikorea, wataelewana vipi ?
 
Time, space, matter, universe na vitu vyote vinapimika vipo na vingine vinaonekana, vinasikika, vinashikika na kuhisika na kwa namna hizi zote huweza kutambulisha vipo.

Ndio maana tunasema mna akili ndogo sana, kama unakubali Kuna kuhusika mbona una kana kuhusu akili, njaa na vinginevyo ?

Ndio maana hujibu maswali ninayo kuuliza. Kwahiyo na Time nayo ni jina Dhahania kwa maana uliyo itoa kule juu ?!

Unakubali njaa nayo ni kitu, Mungu naye ni kitu, kama ni hivyo Kuna ishara na ushahidi unao onyesha Mungu yupo.
 
Jibu maswali niliyo kuuliza.

Unapoteza maana ya mjadala kijana. Sasa huwa unajadiliana ili iweje ?

Leo nimesema nipite mapitio yenu nayo pia huyawezi.
Nitahakikishaje habari zako unazo ziongelea kuhusu huyo Mungu ni za kweli?

Ilhali huyo Mungu hawezi na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha?

Huoni kwamba unafosi mawazo yako uchwara na imani zako uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule????
 
Back
Top Bottom