Nitahakikishaje habari zako unazo ziongelea kuhusu huyo Mungu ni za kweli?
Ilhali huyo Mungu hawezi na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha?
Huoni kwamba unafosi mawazo yako uchwara na imani zako uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule????
Jibu maswali niliyo kuuliza. Kisha nitajibu hiki unachouliza. Twende kwa utaratibu ili mjadala ulete maana.