DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Hii comment ina ujazo wa kutosha!Ukipinga uwepo wa Mungu au shetani inabidi usiamini katika dhana ya ubaya wa jambo lolote au uzuri wa jambo lolote kwa sababu kama uwepo wa Mungu na shetani ni myth basi kudhani jambo fulani ni baya au zuri ni myth, kudhani kwamba ukiua mtu ni jambo baya hiyo ni upotofu maana sababu inayotufanya tusiuane na kama nikileta sababu zangu za kuua inabidi zikubaliwe na ukipinga hizo ni shida zako sio zangu kwa kuwa siamini kama kuua ni jambo baya regardless sababu au bila sababu
Don't worry nakuja huko.Ndio maana nika kwambia ni madai ambayo hayaja thibitishwa.
Ni nadharia tu.
Kwa nini umu exclude huyo creator kwenye logic ya kuumbwa?
Huoni kwamba utaji Contradict na statement yako ya kusema nothing can originate from nothing.
Huyo creator yeye amewezaje ku originate from nothing?
If nothing originate from nothing,
Huyo creator aliwezaje ku originate from nothing?
Kama haku originate from nothing, Creator huyo alitoka wapi?
Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Njaa ipo au haipo? Unajua au unaamini kuwa kuna njaa?Kutokuwa na uhakika, ushahidi wala uthibitisho.
na upumbavu kutumia akili hii ya kibinadamu inayoshindwa kusolve mambo mengi, kutaka kuverify uwepo wa Mungu,Hiyo ni analogy ya watchmaker ilianzishwa na Paley mwaka 1770.
Paley ali argue kuwa ukiwa unatembea kwenye fukwe ukakuta saa lazima utajua tu kuwa ile saa imetengenezwa.
Sasa.
Hoja ni kwamba hatuna experience yeyote iliyowahi kushuhudiwa ya ulimwengu kuumbwa.
The fact ni kwamba vitu vyote tunavyodai kujua vyanzo vyake tunakuwa tumepata knowledge kupitia previous experiences tukiviona vinaundwa au tukiviunda wenyewe.
Kwa hiyo mfano wako wa nyumba, tunajua kwamba nyumba inajengwa na Mason (Mwashi)
Kwasababu tunaweza kuchunguza jinsi ilivyojengwa na kuweza kulinganisha na nyumba zingine kupima kama zina sababu zinazofanana katika ujengwaji wao.
So nikija katika hoja yako ni kuwa hatuna experience ya ulimwengu kuumbwa wala ulimwengu mwingine wowote wa kulinganisha na huu ulimwengu wetu.
Kwa hiyo itakuwa ni upumbavu kuhusisha ulimwengu kuwa umeumbwa na Mungu katika namna sawa na ambavyo nyumba iliundwa.
Unahisi na kujua una njaa.Njaa ipo au haipo? Unajua au unaamini kuwa kuna njaa?
Kumbe shida yako wewe ni maneno sio imanHalipo katika uhalisia wa kuonekana bali katika dhana ya kufikirika tu.
Sasa akili ya kibinadamu inayoshindwa ku solve mambo mengi unaiaminije kwenye dhana ya uwepo wa Mungu kuwa haijakupotosha?na upumbavu kutumia akili hii ya kibinadamu inayoshindwa kusolve mambo mengi, kutaka kuverify uwepo wa Mungu,
na ni upumbavu zaidi kuamini hayupo Kwasababu akili imeshindwa ku prove
Wewe una uhakika gani kama ubongo unaamua ushawahi kuuona ukiamua?Misingi hiyo ya imani imejengwa katika uongo kwa sababu vitu vyote vya kuona, kusikia na kutenda vinafanyika na viungo vya binadamu.
Macho huona, masikio husikia, ubongo huamua na kisha mwili kwa ujumla hutenda.
Hivyo definition yako ya imani ni definition UCHWARA.
Definition yako ni ya MCHONGO.
kwaiyo kama hana majibu uta conclude vipi kua Hayupo ?Bado haujafafanua ufinyu wa maarifa ya binadamu unathibitisha vipi uwepo wa Mungu, tuseme sijui jua limetokeaje, je kutukujua kwangu kunathibisha vipi uwepo wa Mungu? Mimi ninavyojua binadamu bado hana majibu ya mambo mengi kwa sababu ya ugeni wake hapa ulimwenguni. Kuna tofauti kubwa sana ya miaka kuanzia ulimwengu ulipovyo-exist mpaka binadamu alivyo-evolve, ni kama wewe leo hii uende kwenye mansion anayoishi jay z utahitaji muda kuzunguka ujue vyumbani wapi jikoni wapi gym wap n.k hauwezi ukayajua hayo instantly tu baada ya kuingia getini.
Sawa mkuu, inawezekana aliishi kweli, lakini je una uhakika Kuna ushahidi wa kutosha kusema alikuwepo?, na je Kuna uthibitisho kweli alikuwa mwana wa Mungu, mwenye uwezo wa kufanya miujiza? Au alikuwa tu nabii wa uongo, mwenye kufanya miujiza ya uongo kama kina mwamposa na tb Joshua? Mind you, enzi izo hakukuwa na camera Wala shule, ko Ili kuwa rahisi kwa watu wa enzi zile kuamini dinitena Yesu ndo anathinitishika physically kwa ku pitia Archeology na Ancient history kwasababu ali exist kama Human being, kwaiyo ameacha Trace nyingi tuu ambazo hadi science inakubali ali ishi takriban miaka 2000 iliyopita
Dark energy ni nadharia (dai) isiyo na uthibitisho pia naweza kusema ni imani isiyo na uthibitisho.Don't worry nakuja huko.
Naomba kwanza unijibu nilichokuuliza, hajanipa jibu mpaka saivi kuhusiana na imani yako kuhusu dark energy! (let's stick on the fact, nothing can originate from nothing) umesema unaamini kuhusian na dark energy sasa nataka kujuwa ulibuild vipi logic ya kuconclude kama Mungu hayupo
naamini kitokana na vitu ambavyo viko wazi, kutoka kutoka kwenye kui observe dunia kwenye solar system,Sasa akili ya kibinadamu inayoshindwa ku solve mambo mengi unaiaminije kwenye dhana ya uwepo wa Mungu kuwa haijakupotosha?
Una uhakika gani kuwa unayohisi ndio njaaUnahisi na kujua una njaa.
Haumimi kama una njaa.