Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Ukipinga uwepo wa Mungu au shetani inabidi usiamini katika dhana ya ubaya wa jambo lolote au uzuri wa jambo lolote kwa sababu kama uwepo wa Mungu na shetani ni myth basi kudhani jambo fulani ni baya au zuri ni myth, kudhani kwamba ukiua mtu ni jambo baya hiyo ni upotofu maana sababu inayotufanya tusiuane na kama nikileta sababu zangu za kuua inabidi zikubaliwe na ukipinga hizo ni shida zako sio zangu kwa kuwa siamini kama kuua ni jambo baya regardless sababu au bila sababu
Hii comment ina ujazo wa kutosha!
 
Ndio maana nika kwambia ni madai ambayo hayaja thibitishwa.

Ni nadharia tu.

Kwa nini umu exclude huyo creator kwenye logic ya kuumbwa?

Huoni kwamba utaji Contradict na statement yako ya kusema nothing can originate from nothing.

Huyo creator yeye amewezaje ku originate from nothing?

If nothing originate from nothing,

Huyo creator aliwezaje ku originate from nothing?

Kama haku originate from nothing, Creator huyo alitoka wapi?

Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Don't worry nakuja huko.
Naomba kwanza unijibu nilichokuuliza, hajanipa jibu mpaka saivi kuhusiana na imani yako kuhusu dark energy! (let's stick on the fact, nothing can originate from nothing) umesema unaamini kuhusian na dark energy sasa nataka kujuwa ulibuild vipi logic ya kuconclude kama Mungu hayupo
 
Hiyo ni analogy ya watchmaker ilianzishwa na Paley mwaka 1770.

Paley ali argue kuwa ukiwa unatembea kwenye fukwe ukakuta saa lazima utajua tu kuwa ile saa imetengenezwa.

Sasa.

Hoja ni kwamba hatuna experience yeyote iliyowahi kushuhudiwa ya ulimwengu kuumbwa.

The fact ni kwamba vitu vyote tunavyodai kujua vyanzo vyake tunakuwa tumepata knowledge kupitia previous experiences tukiviona vinaundwa au tukiviunda wenyewe.

Kwa hiyo mfano wako wa nyumba, tunajua kwamba nyumba inajengwa na Mason (Mwashi)

Kwasababu tunaweza kuchunguza jinsi ilivyojengwa na kuweza kulinganisha na nyumba zingine kupima kama zina sababu zinazofanana katika ujengwaji wao.

So nikija katika hoja yako ni kuwa hatuna experience ya ulimwengu kuumbwa wala ulimwengu mwingine wowote wa kulinganisha na huu ulimwengu wetu.

Kwa hiyo itakuwa ni upumbavu kuhusisha ulimwengu kuwa umeumbwa na Mungu katika namna sawa na ambavyo nyumba iliundwa.
na upumbavu kutumia akili hii ya kibinadamu inayoshindwa kusolve mambo mengi, kutaka kuverify uwepo wa Mungu,

na ni upumbavu zaidi kuamini hayupo Kwasababu akili imeshindwa ku prove
 
Mungu hayupo coz haiwezekani amuumbe binadamu aje kuujaza ulimwenguni alafu akaumba WAGUMBA
 
Halipo katika uhalisia wa kuonekana bali katika dhana ya kufikirika tu.
Kumbe shida yako wewe ni maneno sio iman

Una shida na maneno ya dhahania una ufahamu mdogo wa maneno ya dhahania

Sasa kama neno ugonjwa halipo bali ni la kuhisi kwahiyo wewe huamini kuwa ugonjwa upo au haupo?
 
Mungu hayupo kwa nini atuumbe sisi wakina Billie tuwe na hela nyingi huku wengine kula yao haieleweki na bado wanamtumikia yeye sisi hatupajui hata kanisani na tunaonekana shida hazituadhibu ila watu wake wana njaa mpaka zinakaribia kuwaua
 
na upumbavu kutumia akili hii ya kibinadamu inayoshindwa kusolve mambo mengi, kutaka kuverify uwepo wa Mungu,

na ni upumbavu zaidi kuamini hayupo Kwasababu akili imeshindwa ku prove
Sasa akili ya kibinadamu inayoshindwa ku solve mambo mengi unaiaminije kwenye dhana ya uwepo wa Mungu kuwa haijakupotosha?
 
Misingi hiyo ya imani imejengwa katika uongo kwa sababu vitu vyote vya kuona, kusikia na kutenda vinafanyika na viungo vya binadamu.

Macho huona, masikio husikia, ubongo huamua na kisha mwili kwa ujumla hutenda.

Hivyo definition yako ya imani ni definition UCHWARA.

Definition yako ni ya MCHONGO.
Wewe una uhakika gani kama ubongo unaamua ushawahi kuuona ukiamua?
 
Bado haujafafanua ufinyu wa maarifa ya binadamu unathibitisha vipi uwepo wa Mungu, tuseme sijui jua limetokeaje, je kutukujua kwangu kunathibisha vipi uwepo wa Mungu? Mimi ninavyojua binadamu bado hana majibu ya mambo mengi kwa sababu ya ugeni wake hapa ulimwenguni. Kuna tofauti kubwa sana ya miaka kuanzia ulimwengu ulipovyo-exist mpaka binadamu alivyo-evolve sasa wanasayansi wanavyofanya uchunguzi wa ambo yaliyotokea billions of years ago hili sio suala dogo, ni kama wewe leo hii uende kwenye mansion anayoishi jay z utahitaji muda kuzunguka ujue vyumbani wapi jikoni wapi gym wap n.k hauwezi ukayajua hayo instantly tu baada ya kuingia getini.
 
Bado haujafafanua ufinyu wa maarifa ya binadamu unathibitisha vipi uwepo wa Mungu, tuseme sijui jua limetokeaje, je kutukujua kwangu kunathibisha vipi uwepo wa Mungu? Mimi ninavyojua binadamu bado hana majibu ya mambo mengi kwa sababu ya ugeni wake hapa ulimwenguni. Kuna tofauti kubwa sana ya miaka kuanzia ulimwengu ulipovyo-exist mpaka binadamu alivyo-evolve, ni kama wewe leo hii uende kwenye mansion anayoishi jay z utahitaji muda kuzunguka ujue vyumbani wapi jikoni wapi gym wap n.k hauwezi ukayajua hayo instantly tu baada ya kuingia getini.
kwaiyo kama hana majibu uta conclude vipi kua Hayupo ?
 
Mungu hayupo kwa sababu haiwezekani aunbe binadamu awaweke bustan ya Edeni then amuache na shetani humo humo kwenye umbo la nyoka then shetan anaanza kurubuni watu wake yeye amekaa kimya tu mpaka wanaanguka zambini ndo yeye anakurupuka sijui alikuwa kasinzia kaja kapanic na kuanza kurusha ma laana eti ooo Mwanaume utakula kwa jasho,Mwanamke utazaa kwa uchungu na wewe nyoka utapondwa kichwa na mengine kibao eti vitabu ndo vinasema mambo ya dhambi yalianzia hapo sasa unajiuliza mbona kama MUNGU alipanga kutuumiza tu maana yeye muweza yote alikuwa hajui kama haya yatatokea
 
tena Yesu ndo anathinitishika physically kwa ku pitia Archeology na Ancient history kwasababu ali exist kama Human being, kwaiyo ameacha Trace nyingi tuu ambazo hadi science inakubali ali ishi takriban miaka 2000 iliyopita
Sawa mkuu, inawezekana aliishi kweli, lakini je una uhakika Kuna ushahidi wa kutosha kusema alikuwepo?, na je Kuna uthibitisho kweli alikuwa mwana wa Mungu, mwenye uwezo wa kufanya miujiza? Au alikuwa tu nabii wa uongo, mwenye kufanya miujiza ya uongo kama kina mwamposa na tb Joshua? Mind you, enzi izo hakukuwa na camera Wala shule, ko Ili kuwa rahisi kwa watu wa enzi zile kuamini dini
 
Mungu hayupo kwa sababu leo hii ukizaa mtoto kilema/tahira anakuwa amemkosea nini na kwa nini atese viumbe visivyo na hatia
 
Don't worry nakuja huko.
Naomba kwanza unijibu nilichokuuliza, hajanipa jibu mpaka saivi kuhusiana na imani yako kuhusu dark energy! (let's stick on the fact, nothing can originate from nothing) umesema unaamini kuhusian na dark energy sasa nataka kujuwa ulibuild vipi logic ya kuconclude kama Mungu hayupo
Dark energy ni nadharia (dai) isiyo na uthibitisho pia naweza kusema ni imani isiyo na uthibitisho.

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.

Hivyo dark energy haijafikia conclusion ya kusema ipo.

Dark matter bado ni nadharia tu isiyo na uthibitisho wa uhakika wa kuwepo kwake.

Mungu hayupo kwa sababu, hata definition ya Mungu ni nini haipo yani mmeibua dhana ya kufikirika tu na kuipachika jina Mungu halafu kuilezea ni nini hamuwezi.

Ila mnadai kwa uhakika Mungu huyo yupo, ilhali hata kumuelezea mmeshindwa.
 
When Rational Fail we turn to Spirituality....

Binafsi napenda watu wanaosema hili hatujui sababu hawajathibitisha kuliko wale ambao kila ambacho hawakifahamu wanasema ni Mungu au any Spiritual being...

Kwa kufanya hivyo ni hatari sababu badala ya kuchunguza na kuongeza ufahamu tutaendelea na mwendo wa kuleta majibu rahisi kwa maswali magumu....; Bila hawa watu wa Kuhoji mpaka leo tungekuwa kwenye dark ages...

By the way huyu Mungu so Powerful kwanini asidownload knowledge kwenye vichwa vya wote hadi akutumie wewe (proxy) kufanya kazi yake ?
 
Mungu hayupo kwa sababu shetani mpaka sasa anamtawala Mungu kama huyo Mungu yupo.Vitu vichungu na vibaya kachagua yeye Mungu mfano Bata amapiano,tungi na ma starehe mengi ni mali ya shetani ambayo huwavutia watu kibao kuliko vitu alivyochagua Mungu maana machaguo ya Mungu ya ajabu ajabu mara Kushinda njaa(kufunga) kuimba kanisani mpaka sauti inakauka na kuanza kukohoa hovyo anyway nina mengi sana moyoni
 
Sasa akili ya kibinadamu inayoshindwa ku solve mambo mengi unaiaminije kwenye dhana ya uwepo wa Mungu kuwa haijakupotosha?
naamini kitokana na vitu ambavyo viko wazi, kutoka kutoka kwenye kui observe dunia kwenye solar system,

hadi kwenye uso wa dunia jinsi ecosystem ilivyokua balanced,

kila kitu kinajionyesha wazi kimekua designed kwa art ya hali ya juu, vitu vyote vina fanya kazi kwa ushirikiano

kuazia kwenye solar system dunia inazunguka jua tunapata vipindi vya mwaka,

vipindi vya mwaka vina maintain sustainability ya ecosystem na viumbe na climate,

mechanism ni nyingi na complex.

je wewe unaamuaje kuzi puuzia tu kwamba "zipo tuu"
 
Back
Top Bottom