Bado haujafafanua ufinyu wa maarifa ya binadamu unathibitisha vipi uwepo wa Mungu, tuseme sijui jua limetokeaje, je kutukujua kwangu kunathibisha vipi uwepo wa Mungu? Mimi ninavyojua binadamu bado hana majibu ya mambo mengi kwa sababu ya ugeni wake hapa ulimwenguni. Kuna tofauti kubwa sana ya miaka kuanzia ulimwengu ulipovyo-exist mpaka binadamu alivyo-evolve, ni kama wewe leo hii uende kwenye mansion anayoishi jay z utahitaji muda kuzunguka ujue vyumbani wapi jikoni wapi gym wap n.k hauwezi ukayajua hayo instantly tu baada ya kuingia getini.