Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwani aliyeanza kusema Mungu yupo ni nani?kwaiyo kama hana majibu uta conclude vipi kua Hayupo ?
Halafu kwa taarifa Yako, watu ambao ndo chanzo Cha dini hizi kuu mbili yani uislam na ukristo, na maanisha wayahudi wanasema yesu hakuwa mwana wa Mungu na alikuwa nabii wa uongo.tena Yesu ndo anathinitishika physically kwa ku pitia Archeology na Ancient history kwasababu ali exist kama Human being, kwaiyo ameacha Trace nyingi tuu ambazo hadi science inakubali ali ishi takriban miaka 2000 iliyopita
hapo sasa ndipo anaeleta madai ya uwepo wa Mungu atatakiwa kuthibitisha. Lazima utoe uthibitisho ndipo madai yako yakubalike. Tukisema kila kitu kikubalike kwa sababu tu hauna uwezo wa ku-prove wrong tutatoa nafasi ya kuibua madai mengi sana ya uongo, mimi nitakwabia katikati ya sayari ya Earth na Mars kuna sanduku lenye pesa nyingi sana kushinda utajiti wa Elon Musk, je utakubaliana na madai yangu kwa sababu hauwezi kwenda eneo la tukio kuthibitisha? bila shaka utanipinga mpaka pale nitakupokuonyesha uthibitishokwaiyo kama hana majibu uta conclude vipi kua Hayupo ?
Njaa ni neno la kufikirika linalotumika kuashiria unahitaji kula chakula.Una uhakika gani kuwa unayohisi ndio njaa
Umei observe dunia...ndio sababu ya wewe kuamini.naamini kitokana na vitu ambavyo viko wazi, kutoka kutoka kwenye kui observe dunia kwenye solar system,
hadi kwenye uso wa dunia jinsi ecosystem ilivyokua balanced,
kila kitu kinajionyesha wazi kimekua designed kwa art ya hali ya juu, vitu vyote vina fanya kazi kwa ushirikiano
kuazia kwenye solar system dunia inazunguka jua tunapata vipindi vya mwaka,
vipindi vya mwaka vina maintain sustainability ya ecosystem na viumbe na climate,
mechanism ni nyingi na complex.
je wewe unaamuaje kuzi puuzia tu kwamba "zipo tuu"
smart, I presume you're a man of logicDark energy ni nadharia (dai) isiyo na uthibitisho pia naweza kusema ni imani isiyo na uthibitisho.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.
Hivyo dark energy haijafikia conclusion ya kusema ipo.
Dark matter bado ni nadharia tu isiyo na uthibitisho wa uhakika wa kuwepo kwake.
Mungu hayupo kwa sababu, hata definition ya Mungu ni nini haipo yani mmeibua dhana ya kufikirika tu na kuipachika jina Mungu halafu kuilezea ni nini hamuwezi.
Ila mnadai kwa uhakika Mungu huyo yupo, ilhali hata kumuelezea mmeshindwa.
The same to, upepo, mungu, sayansi, malaika, ugonjwa n.k hayo yote ni maneno ya kufikirika ila yapoNjaa ni neno la kufikirika linalotumika kuashiria unahitaji kula chakula.
Njaa sio kitu cha kushikika au kuonekana.
Njaa ni neno tu lilitungwa kuelezea hali ya mtu anapohitaji kula chakula.
Hakuna haja ya kuprove kama yupo, it's a logic.hapo sasa ndipo anaeleta madai ya uwepo wa Mungu atatakiwa kuthibitisha. Lazima utoe uthibitisho ndipo madai yako yakubalike. Tukisema kila kitu kikubalike kwa sababu tu hauna uwezo wa ku-prove wrong tutatoa nafasi ya kuibua madai mengi sana ya uongo, mimi nitakwabia katikati ya sayari ya Earth na Mars kuna sanduku lenye pesa nyingi sana kushinda utajiti wa Elon Musk, je utakubaliana na madai yangu kwa sababu hauwezi kwenda eneo la tukio kuthibitisha? bila shaka utanipinga mpaka pale nitakupokuonyesha uthibitisho
Acha maneno mengi, tunaomba ututhibitishie uwepo wa uyo Mungu unaedai yupo.Hakuna haja ya kuprove kama yupo, it's a logic.
Nyinyi mnasema hayupo mlifikia vipi conclusions za kuwa hayupo?? Wewe hata usijaribu kuproove hayupo ila sema tu uliifikia vipi iyo conclusion.
Wengi hapa utasikia kwasababj eti haonekani huu ni utoto sasa
Science na theology vyote ni vya mzungu zote ni za kutungaSayansi haisemi Mungu yupo.
Ninyi watu wa dini na imani ndio mnasema Mungu yupo.
Sasa unataka sayansi ije iprove kitu ambacho haijakisema?
Yani kitu useme wewe halafu uthibitisho utake mimi nikupe?
Hivi ina make sense kweli?
Afu pia utuambie ni Mungu gani unamuongelea hapa Allah, Yawhew, Zeus, Sangoma, Vishnu au Warumbe. Kuwa specific.Hakuna haja ya kuprove kama yupo, it's a logic.
Nyinyi mnasema hayupo mlifikia vipi conclusions za kuwa hayupo?? Wewe hata usijaribu kuproove hayupo ila sema tu uliifikia vipi iyo conclusion.
Wengi hapa utasikia kwasababj eti haonekani huu ni utoto sasa
issue ya hapo mbona ni simple nawe ndo unaifanya iwe na mjadala unaotaka,Umei observe dunia...ndio sababu ya wewe kuamini.
At the same time umedai akili ya binadamu haiwezi ku solve mambo mengi.
Sasa utajuaje katika hayo majibu uliyopata baada ga ku observe dunia sio muendelezo uleule wa kuzidi kupata majibu yasio sahihi kutokana na kile ulichokisema mwanzo kuwa akili ya binadamu ina limit haiwezi ku solve mambo?
Aliyekwambia sayansi ni ya mzungu ni nani?Science na theology vyote ni vya mzungu zote ni za kutunga
Na Mungu yeye kaumbwa na nani?issue ya hapo mbona ni simple nawe ndo unaifanya iwe na mjadala unaotaka,
kama hayo maelezo hapo juu, yanavyoongesha jinsi Art iliyotumika, na mechanisim zinazofanyika kumaintain uhai kwenye Dunia,
kama ukisema Mungu hayupo, uje na majibu pia ya kuelezea nini kipo nyuma yake ?
usiishie tuu kusema hayupo
Elimu ya mazingiraAliyekwambia sayansi ni ya mzungu ni nani?
Sayansi ni nini?
Sasa elimu ya mazingira ni ya wazungu tu?Elimu ya mazingira
Theology ni nini?
hilo swali nimeshamjibu kiranga pia, na nikaeleza ni kwanini tutarudi kwenye cycle ile ileNa Mungu yeye kaumbwa na nani?
Art gani?issue ya hapo mbona ni simple nawe ndo unaifanya iwe na mjadala unaotaka,
kama hayo maelezo hapo juu, yanavyoongesha jinsi Art iliyotumika, na mechanisim zinazofanyika kumaintain uhai kwenye Dunia,
kama ukisema Mungu hayupo, uje na majibu pia ya kuelezea nini kipo nyuma yake ?
usiishie tuu kusema hayupo
Kinachomsumbua ni maneno na sio kuwepo kwa hayo manenoHuwa napenda sana mnapojaribu kujibu hoja, huonyesha ni watupu sana.
Unatoka nje ya maana, jina haliwi jina pasi na sifa kijana unalijua hilo ? Sasa nashangaa unaleta jambo ambalo halibadilishi chochote katika hoja yangu.
Jibu, vipo ? Inaonekana hujui maana ya Nomino, kwa ufupi Nomino ni tamko linalo elezea dhati ya kitu na halifungamani na muda. Ndio maana kuna Akili, kuna Juma. Ukiiangalia akili ina sifa zake anuai na Juma linasifa zake anuai, sifa ambazo hutofautisha jina na kitendo.
Ukisema hazipo kiuhalisia wewe unafaa upigwe makofi, kwahiyo njaa haipo kiuhalisia ? Unaijuaje Njaa mpaka ukaitofautisha na shibe, halafu muda huo unadai havipo kiuhalisia. Hivi huwa unasoma unachokiandika ?