Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwani aliyeanza kusema Mungu yupo ni nani?kwaiyo kama hana majibu uta conclude vipi kua Hayupo ?
Aliyeibua dhana ya Mungu si ni nyie waamini huyo Mungu?
Elezeni na mthibitishe basi huyo Mungu ni nini?
Sisi Atheists hatumjui huyo Mungu ndio maana tunasema hayupo.
Sasa wewe njoo utu prove wrong kwamba hayo madai yako ya uwepo wa hiyo dhana "Mungu" ni ukweli!