Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

kwaiyo kama hana majibu uta conclude vipi kua Hayupo ?
Kwani aliyeanza kusema Mungu yupo ni nani?

Aliyeibua dhana ya Mungu si ni nyie waamini huyo Mungu?

Elezeni na mthibitishe basi huyo Mungu ni nini?

Sisi Atheists hatumjui huyo Mungu ndio maana tunasema hayupo.

Sasa wewe njoo utu prove wrong kwamba hayo madai yako ya uwepo wa hiyo dhana "Mungu" ni ukweli!
 
tena Yesu ndo anathinitishika physically kwa ku pitia Archeology na Ancient history kwasababu ali exist kama Human being, kwaiyo ameacha Trace nyingi tuu ambazo hadi science inakubali ali ishi takriban miaka 2000 iliyopita
Halafu kwa taarifa Yako, watu ambao ndo chanzo Cha dini hizi kuu mbili yani uislam na ukristo, na maanisha wayahudi wanasema yesu hakuwa mwana wa Mungu na alikuwa nabii wa uongo.
 
kwaiyo kama hana majibu uta conclude vipi kua Hayupo ?
hapo sasa ndipo anaeleta madai ya uwepo wa Mungu atatakiwa kuthibitisha. Lazima utoe uthibitisho ndipo madai yako yakubalike. Tukisema kila kitu kikubalike kwa sababu tu hauna uwezo wa ku-prove wrong tutatoa nafasi ya kuibua madai mengi sana ya uongo, mimi nitakwabia katikati ya sayari ya Earth na Mars kuna sanduku lenye pesa nyingi sana kushinda utajiti wa Elon Musk, je utakubaliana na madai yangu kwa sababu hauwezi kwenda eneo la tukio kuthibitisha? bila shaka utanipinga mpaka pale nitakupokuonyesha uthibitisho
 
Una uhakika gani kuwa unayohisi ndio njaa
Njaa ni neno la kufikirika linalotumika kuashiria unahitaji kula chakula.

Njaa sio kitu cha kushikika au kuonekana.

Njaa ni neno tu lilitungwa kuelezea hali ya mtu anapohitaji kula chakula.
 
Mungu hayupo kwanza kama yupo Mungu gani anaupendeleo kiasi kwamba katuumba WAAFRICA na akili kisoda mpaka tunataabika na kajifunua kwa wazungu kuwajazia miakili mingi kiasi kwamba sisi tumekuwa watu wa kusaidiwa kila siku.Kama yupo alisema mwenyewe na tumuumbe Mtu kwa mfano wa Mungu alafu kaweka races ambazo zinafanya tunabaguana kwanza yeye ndo mbaguzi wa kwanza na mkubwa wa Rangi sisi wajaruo na akili zetu ndogo aliwaza nini kutuumba
 
naamini kitokana na vitu ambavyo viko wazi, kutoka kutoka kwenye kui observe dunia kwenye solar system,

hadi kwenye uso wa dunia jinsi ecosystem ilivyokua balanced,

kila kitu kinajionyesha wazi kimekua designed kwa art ya hali ya juu, vitu vyote vina fanya kazi kwa ushirikiano

kuazia kwenye solar system dunia inazunguka jua tunapata vipindi vya mwaka,

vipindi vya mwaka vina maintain sustainability ya ecosystem na viumbe na climate,

mechanism ni nyingi na complex.

je wewe unaamuaje kuzi puuzia tu kwamba "zipo tuu"
Umei observe dunia...ndio sababu ya wewe kuamini.

At the same time umedai akili ya binadamu haiwezi ku solve mambo mengi.

Sasa utajuaje katika hayo majibu uliyopata baada ya ku-observe dunia sio muendelezo uleule wa kuzidi kupata majibu yasio sahihi kutokana na kile ulichokisema mwanzo kuwa akili ya binadamu ina limit haiwezi ku solve mambo?
 
Dark energy ni nadharia (dai) isiyo na uthibitisho pia naweza kusema ni imani isiyo na uthibitisho.

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.

Hivyo dark energy haijafikia conclusion ya kusema ipo.

Dark matter bado ni nadharia tu isiyo na uthibitisho wa uhakika wa kuwepo kwake.

Mungu hayupo kwa sababu, hata definition ya Mungu ni nini haipo yani mmeibua dhana ya kufikirika tu na kuipachika jina Mungu halafu kuilezea ni nini hamuwezi.

Ila mnadai kwa uhakika Mungu huyo yupo, ilhali hata kumuelezea mmeshindwa.
smart, I presume you're a man of logic
Let's base on the fact "There's creator for everything".
Let's set two variables Universe, Creator(X)

There's a universe - > creator exists, Creator (X)
There's Creator(X) - > Creator (Y) exists
Let's build the regression
{Universe, Creator(X), Creator(Y), Creator(Z).... inf}
Based on this model we have an infinity regression

Let's add another condition, There's a Creator(X) who existed before everything (Uncaused cause/Prime mover)
From there you can avoid an infinity regression you get from the first logic which exclude uncaused cause. If you think one which end up forming an infinity loop is correct hayo ni matatizo yako binafsi sasa
 
Njaa ni neno la kufikirika linalotumika kuashiria unahitaji kula chakula.

Njaa sio kitu cha kushikika au kuonekana.

Njaa ni neno tu lilitungwa kuelezea hali ya mtu anapohitaji kula chakula.
The same to, upepo, mungu, sayansi, malaika, ugonjwa n.k hayo yote ni maneno ya kufikirika ila yapo
 
hapo sasa ndipo anaeleta madai ya uwepo wa Mungu atatakiwa kuthibitisha. Lazima utoe uthibitisho ndipo madai yako yakubalike. Tukisema kila kitu kikubalike kwa sababu tu hauna uwezo wa ku-prove wrong tutatoa nafasi ya kuibua madai mengi sana ya uongo, mimi nitakwabia katikati ya sayari ya Earth na Mars kuna sanduku lenye pesa nyingi sana kushinda utajiti wa Elon Musk, je utakubaliana na madai yangu kwa sababu hauwezi kwenda eneo la tukio kuthibitisha? bila shaka utanipinga mpaka pale nitakupokuonyesha uthibitisho
Hakuna haja ya kuprove kama yupo, it's a logic.
Nyinyi mnasema hayupo mlifikia vipi conclusions za kuwa hayupo?? Wewe hata usijaribu kuproove hayupo ila sema tu uliifikia vipi iyo conclusion.
Wengi hapa utasikia kwasababj eti haonekani huu ni utoto sasa
 
Acha maneno mengi, tunaomba ututhibitishie uwepo wa uyo Mungu unaedai yupo.
 
Sayansi haisemi Mungu yupo.

Ninyi watu wa dini na imani ndio mnasema Mungu yupo.

Sasa unataka sayansi ije iprove kitu ambacho haijakisema?

Yani kitu useme wewe halafu uthibitisho utake mimi nikupe?

Hivi ina make sense kweli?
Science na theology vyote ni vya mzungu zote ni za kutunga
 
Hakuna haja ya kuprove kama yupo, it's a logic.
Nyinyi mnasema hayupo mlifikia vipi conclusions za kuwa hayupo?? Wewe hata usijaribu kuproove hayupo ila sema tu uliifikia vipi iyo conclusion.
Wengi hapa utasikia kwasababj eti haonekani huu ni utoto sasa
Afu pia utuambie ni Mungu gani unamuongelea hapa Allah, Yawhew, Zeus, Sangoma, Vishnu au Warumbe. Kuwa specific.
Kuna miungu zaidi ya 4000 Duniani
 
Umei observe dunia...ndio sababu ya wewe kuamini.

At the same time umedai akili ya binadamu haiwezi ku solve mambo mengi.

Sasa utajuaje katika hayo majibu uliyopata baada ga ku observe dunia sio muendelezo uleule wa kuzidi kupata majibu yasio sahihi kutokana na kile ulichokisema mwanzo kuwa akili ya binadamu ina limit haiwezi ku solve mambo?
issue ya hapo mbona ni simple nawe ndo unaifanya iwe na mjadala unaotaka,

kama hayo maelezo hapo juu, yanavyoongesha jinsi Art iliyotumika, na mechanisim zinazofanyika kumaintain uhai kwenye Dunia,
kama ukisema Mungu hayupo, uje na majibu pia ya kuelezea nini kipo nyuma yake ?

usiishie tuu kusema hayupo
 
Na Mungu yeye kaumbwa na nani?
 
Elimu ya mazingira

Theology ni nini?
Sasa elimu ya mazingira ni ya wazungu tu?

Theology ni elimu kuhusu Mungu na Dini.

Ambapo hata mababu zetu wa kiafrika walikuwa na Theology zao kuhusu dini zao na Miungu yao.

Hivyo kusema Sayansi na Theology ni vya mzungu ni UONGO.
 
Na Mungu yeye kaumbwa na nani?
hilo swali nimeshamjibu kiranga pia, na nikaeleza ni kwanini tutarudi kwenye cycle ile ile

nikitoa mfano ( nadhani ni mara ya tatu sasa )

kwanini kwanini mnarudisha maswali yale yale
hii inaonyesha wazi akili yenu inapoishia,
inazungukia humo humo
 
issue ya hapo mbona ni simple nawe ndo unaifanya iwe na mjadala unaotaka,

kama hayo maelezo hapo juu, yanavyoongesha jinsi Art iliyotumika, na mechanisim zinazofanyika kumaintain uhai kwenye Dunia,
kama ukisema Mungu hayupo, uje na majibu pia ya kuelezea nini kipo nyuma yake ?

usiishie tuu kusema hayupo
Art gani?

Maelezo gani? Hayo ambayo umeyatoa baada ya kufanya observation?

Observation ambayo ina nafasi kubwa ya kuwa potofu kwasababu ya akili yako ya kibinadamu ipo limit?

Maelezo hayo ndio unataka niyabebe kama fact?
 
Huwa napenda sana mnapojaribu kujibu hoja, huonyesha ni watupu sana.

Unatoka nje ya maana, jina haliwi jina pasi na sifa kijana unalijua hilo ? Sasa nashangaa unaleta jambo ambalo halibadilishi chochote katika hoja yangu.

Jibu, vipo ? Inaonekana hujui maana ya Nomino, kwa ufupi Nomino ni tamko linalo elezea dhati ya kitu na halifungamani na muda. Ndio maana kuna Akili, kuna Juma. Ukiiangalia akili ina sifa zake anuai na Juma linasifa zake anuai, sifa ambazo hutofautisha jina na kitendo.

Ukisema hazipo kiuhalisia wewe unafaa upigwe makofi, kwahiyo njaa haipo kiuhalisia ? Unaijuaje Njaa mpaka ukaitofautisha na shibe, halafu muda huo unadai havipo kiuhalisia. Hivi huwa unasoma unachokiandika ?
Kinachomsumbua ni maneno na sio kuwepo kwa hayo maneno

Kwa akili yake kitu kisichoonekana hakipo
 
Back
Top Bottom