Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

This logical fallacy is called non sequitur.

Kitu cha kwanza inachotakiwa kufanya ni kuthibitisha Mungu yupo.

Kabla ya kusema Mungu kaumba hiki au Mungu kaleta hiki, thibitisha Mungu yupo kwanza.
Ukiweza kunionesha physically existence of love, hatred, sense, logic without doing any action nitakuonesha Mungu alipo
 
Kudhani jambo baya ama zuri hiyo haihitaji kujua mungu, hiyo ni common sense tu.

Mambo ya Mungu ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Hapo kwenye sense pia nami naweza kusema n hadithi, hakuna kitu kinachoitwa sense, hakijawahi kuwepo kwa sababu hakuna anayeweza kutuonesha sense zilipo
 
Na mimi namsubiri huyo Allah aje hapa mwenyewe ajiongelee na ajidhihirishe.

Habari zenu kutaka kumuongelea huyo Allah niza uongo.

Huku tutafika.

Jibu maswali niliyo kuuliza kutokana na kile ulichokiandika.
 
Lilivyothibitishwa sikuwepo, naomba unithibishie Ili na Mimi niache kuwa Atheist kaka.. nahtaj uthibitisho tu kuwa Mungu yupo Ili niache kuwa Atheist

Safi kabisa, twende kwa utaratibu. Maliza maswali niliyo kuuliza kisha nitakuthibitishia hili sababu ni jambo rahisi sana.

Ndio maana huwa na tunawakomalia nyinyi mjibu maswali yetu sababu tunajua uwezo wenu ni mdogo, na lengo letu ni kuwaonyesha ni kwa namna gani ni wepesi na hamjui mnachokiegemea.
 
Kwa hii ndio unaita reasoning?

Reasoning inaanza na conclusion?

Thomas Aquinas mwasisi wa hiyo Cosmological Argument hakuipangilia kwa namna mbovu kama ulivyofanya wewe.

Cosmological Argument ni jaribio la kutaka kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kuangalia mpangilio wa ulimwengu.

Thomas Aquinas aliweka pattern ya vitu vinne katika kuimarisha hoja yake.

1. Alisema kuna uwepo wa mfululizo wa matukio

2. Mfululizo wa hayo matukio ambayo huhusisha yakusababishwa na yasio sababishwa (lazima)

3. Lazima kutakuwepo na necessary being ambaye ndio kisababishi wa hayo matukio ambayo ni contingent.

4. Lazima kuwepo na being ambaye ni kisababishi cha mfululizo wa matukio yote hayo.

Akaja kuchambua hizo pattern kwa kuongeza hoja kama Argument from motion na maswala ya unmoved mover nk.

At least hiki ndio kitu ambacho ulitakiwa kuanza nacho kama utangulizi, kuliko kuja na conclusion eti "there creator of everything"
 
Hiyo term morality msingi wake mkuu ni belief in super natural being

Kitu ambacho hujifikirishi ni kuwa uwepo wa Mungu hauhusishi ukristu na uislqmu pekee
Hiyo term society formation msingi wake mkuu ni belief in super natural being so logically automatically kuua inakuwa guilty
 
Ukiweza kunionesha physically existence of love, hatred, sense, logic without doing any action nitakuonesha Mungu alipo
Sijawahi kupinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani.

Hivi unaelewa hata sababu zangu za kupinga uwepo wa Mungu ni zipi au unadandia treni kwa mbele tu?
 
Sijui hata kama shule ulienda na kama ulienda mtihani wa darasa la nne ulifaulu vipi?
Badala ya kubeza hebu leta hoja yako maana hata Mimi naweza kukuambia hivyo hivyo ulivyoniambia
 
Sijawahi kupinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani.

Hivi unaelewa hata sababu zangu za kupinga uwepo wa Mungu ni zipi au unadandia treni kwa mbele tu?
Nadhani ungeelewa nilichokomenti kabla ya kureply usingejitetea na kunihoji vitu dhaifu kama hivyo
 
Wapi umeona imeanza conclusion, There's assertion of the fact "Nothing can start from nothing, There's a creator for everything" probably ndo hii uliita conclusion
Hiyo imetokana na how nature work, according to the principle of energy conservation and matter conservation (sitakupa malezo mengi, ukirejea arguments za nyuma za wenzako utaona ni jinsi gani tuliconclude kuna creator for everything based on the laws of physics)
So start with that assertion, unless unataka tuanze kuargue kuhusiana na hiyo assertion you're welcome
 
Unaweza kwenda benki kukopa hela bila kua na nyaraka za uthibitisho wa mali zako ambazo utaweka rehani ili benki ikupe huo mkopo?

Benki inakuomba utoe hivyo vithibitisho vya umiliki wa hizo mali ili wakupatie mkopo, we unasema mali hizo zipo na kama wanabisha kua hazipo basi wathibitishe kua hazipo.

Hivi kati ya wewe na benki nani mwenye jukumu la kuthibitisha hizo mali ulizodai unamiliki kweli?

Kwamba Benki wana jukumu la kuanza kuthibitisha kama huna hizo asset?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…