Caused by weakly interacting massive particles or Axiomsinasababishwa na nini ?
Dah , kaka Bado unaamini izo Imani za kale kuwa Mungu yupo, hoji Ili upate ukweli.. usimeze tu hadithi za kutungwaπ
The universe is similar to a huge human brain, scientists have found.
A new study investigated the differences and similarities between two of the most complex systems in existence, though at entirely difference scales: the cosmos and its galaxies and the brain and its neuronal cells.
Tunaishi ndani yake Daadekiπ tumsifu Mungu
where does Axioms Came from ?Caused by weakly interacting massive particles or Axioms
Kaka na mm nikuulze, Mungu katoka wapi?where does Axioms Came from ?
Mungu, ni highest power, beyond human understanding...Kaka na mm nikuulze, Mungu katoka wapi?
Haya kama yupo, nithibitishie uwepo wake.Mungu, ni highest power, beyond human understanding...
Alikwepo Yupo na Ataendelea kuwepo
kutokana na principle za physics na Science, kitu hakiwezi kuwepo tu kwaiyo kusikia watu walio base kwenye science wanasema kitu fulani "kilikwepo tu"
ni jambo la kushangaza na pia inaonyesha wame agree kwenye Super natural power beyond human understanding hatakama wanasema hawa agree
Huo sasa unaitwa ubishi, Wanasayansi walioleta Big Bang THEORY ndio hao hao wanaleta hayo Madini ya Brain.Dah , kaka Bado unaamini izo Imani za kale kuwa Mungu yupo, hoji Ili upate ukweli.. usimeze tu hadithi za kutungwa
"Atheists wana mtindio wa ubongo"Haya kama yupo, nithibitishie uwepo wake.
Thibitisha Mungu yupo, acha siasa"Atheists wana mtindio wa ubongo"
siwezi kurudia kitu kimoja hicho hicho, nithibitishe mara ngapi, soma bandiko, post #1
na zingine zinazofata, rudia tena kusoma kuanzia page ya kwanza, hadi mwisho
Mwanasayansi gani? Wanasayansi wengi hawaamin juu ya uwepo wa Mungu, kwa sababu hakuna hata ushahidi mmoja kwamba yupo, wakina Albert Einstein, kina Stephen Hawkings wote walikuwa atheistsHuo sasa unaitwa ubishi, Wanasayansi walioleta Big Bang THEORY ndio hao hao wanaleta hayo Madini ya Brain.
Ndio ni kweli.
ilikwepo tu kivipi, umetumia njia gani ku conclude vilikwepo tu=> Kuhitimisha Dunia/ulimwengu havijaumbwa bali vilikuwepo tu
=> Kuhitimisha aliyetuumba hayupo
Umetumia kanuni gani kuhitimisha hayo ?
Ungekubali uthibitishiwe kwa njia za kiimani mjadala ungekua umeshaisha, Wewe unataka uthibitishiwe kisayansi pole mkuuThibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo kweli, na kwamba habari za kuwepo kwake si uongo na ujinga tu.
Hiyo ni kwa mujibu wa atheist mmoja hapo juu, Ukisoma hadi mwisho kuna swali nmeuliza ( nmemuuliza )ilikwepo tu kivipi, umetumia njia gani ku conclude vilikwepo tu
"Kuthibitishiwa kwa njia za kiimani" maana yake nini?Ungekubali uthibitishiwe kwa njia za kiimani mjadala ungekua umeshaisha, Wewe unataka uthibitishiwe kisayansi pole mkuu
Lakini nna swali, Nithibitishie kuwa chanzo cha ulimwengu ni Bing bang
Ukitaka kujijibu maswali yanayokusumbua ondoa Vitabu jiweke Wewe km Wewe alafu anzia hapo mnajibu majibu ya Watu wengine nyinyi wote hamna majibuHiyo ni kwa mujibu wa atheist mmoja hapo juu, Ukisoma hadi mwisho kuna swali nmeuliza ( nmemuuliza )