Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

👇
The universe is similar to a huge human brain, scientists have found.

A new study investigated the differences and similarities between two of the most complex systems in existence, though at entirely difference scales: the cosmos and its galaxies and the brain and its neuronal cells.

Tunaishi ndani yake Daadeki😁 tumsifu Mungu
 
Dah , kaka Bado unaamini izo Imani za kale kuwa Mungu yupo, hoji Ili upate ukweli.. usimeze tu hadithi za kutungwa
 
Kaka na mm nikuulze, Mungu katoka wapi?
Mungu, ni highest power, beyond human understanding...
Alikwepo Yupo na Ataendelea kuwepo

kutokana na principle za physics na Science, kitu hakiwezi kuwepo tu kwaiyo kusikia watu walio base kwenye science wanasema kitu fulani "kilikwepo tu"

ni jambo la kushangaza na pia inaonyesha wame agree kwenye Super natural power beyond human understanding hatakama wanasema hawa agree
 
Haya kama yupo, nithibitishie uwepo wake.
 
Dah , kaka Bado unaamini izo Imani za kale kuwa Mungu yupo, hoji Ili upate ukweli.. usimeze tu hadithi za kutungwa
Huo sasa unaitwa ubishi, Wanasayansi walioleta Big Bang THEORY ndio hao hao wanaleta hayo Madini ya Brain.
 
Haya kama yupo, nithibitishie uwepo wake.
"Atheists wana mtindio wa ubongo"

siwezi kurudia kitu kimoja hicho hicho, nithibitishe mara ngapi, soma bandiko, post #1

na zingine zinazofata, rudia tena kusoma kuanzia page ya kwanza, hadi mwisho
 
Thibitisha Mungu yupo, acha siasa
 
Huo sasa unaitwa ubishi, Wanasayansi walioleta Big Bang THEORY ndio hao hao wanaleta hayo Madini ya Brain.
Mwanasayansi gani? Wanasayansi wengi hawaamin juu ya uwepo wa Mungu, kwa sababu hakuna hata ushahidi mmoja kwamba yupo, wakina Albert Einstein, kina Stephen Hawkings wote walikuwa atheists
 
Kuamini Mungu ni sawa na ushirikina, ndio maana China ni taifa lisiloamini Mungu kikatiba, na iyo imewasaidia kupata maendeleo haraka, kuliko kupoteza mda kwenye nyumba za ibada.
 
=> Kuhitimisha Dunia/ulimwengu havijaumbwa bali vilikuwepo tu
=> Kuhitimisha aliyetuumba hayupo
Umetumia kanuni gani kuhitimisha hayo ?
ilikwepo tu kivipi, umetumia njia gani ku conclude vilikwepo tu
 
Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo kweli, na kwamba habari za kuwepo kwake si uongo na ujinga tu.
Ungekubali uthibitishiwe kwa njia za kiimani mjadala ungekua umeshaisha, Wewe unataka uthibitishiwe kisayansi pole mkuu

Lakini nna swali, Nithibitishie kuwa chanzo cha ulimwengu ni Bing bang
 
"Kuthibitishiwa kwa njia za kiimani" maana yake nini?

Unaweza ku define uthibitisho ni nini na imani ni nini na inawezekana vipi kuthibitisha kwa njia za kiimani?
 
Hiyo ni kwa mujibu wa atheist mmoja hapo juu, Ukisoma hadi mwisho kuna swali nmeuliza ( nmemuuliza )
Ukitaka kujijibu maswali yanayokusumbua ondoa Vitabu jiweke Wewe km Wewe alafu anzia hapo mnajibu majibu ya Watu wengine nyinyi wote hamna majibu
 
Back
Top Bottom