Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Jinsi mazingira ya asili yalivyokua designed

Kiasi cha kukufanya au kumfanya kiumbe yeyote ahisi amani

Na jinsi ambavyo mazingira ya asili yameunganishwa moja kwa moja na akili ili iweze kurelaz na kuuona izuri wake

Hii haiitaji maelezo sana picha tu aau maeneo uliyofika ya asili yana kufanya uwe relaxed

Je yalitokeaje kwa bahati mbaya bila kia designed ili yavutie ?
 
Fibonacci sequence ni mfuatano wa namba ambao namba inayofuata ni sawasawa na jumla ya namb mbili za mwazo

mfano: 0, 1, 1, 2, 3, 5, 8, 13, 21....

viumbe vingi mfano pamoja na vitu vya asili vimeumbwa katika mfumo huu,

 
kila kitu cha asili na viumbe vyote vimeumbwa kwa ratio moja ambayo inawafanya waonekane na muonekano walio nao

hiyo ratio inaitwa Golden ratio au divine ratio
yaani hicho ni kipimo kilichotumika kwenye uumbaji ambacho kinafanya viumbe vionekane kama vilivyo

ni approximately 1.618



hiyo ratio inapatikana kwa kuchukua urefu wa kitu kizima gawanya kwa urefu wa kipande kimoja ambacho ndo kirefu ambayo ni sawa na kipande kirefu gawanya kwa kipande kifupi

a+b/a = a/b

a ni kipande kirefu
b ni kipande kifupi
a+b ni jumla ya urefu wa kipande kirefu na kifupi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…