P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
- Thread starter
- #341
naongelea madai gani, nawewe unathibitishaje kwamba yakwako sio madai ?Hapo unaongelea madai bado hujathibitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naongelea madai gani, nawewe unathibitishaje kwamba yakwako sio madai ?Hapo unaongelea madai bado hujathibitisha
Unajua maana ya theory kisayansi? Kwenye sayansi ukiambiwa theory, maana yake ni facts na Kuna uthibitisho... Kw mfno.. evolution theory, kisayansi ni fact iyo kwa maana imethibitishwa binadamu wali evolve kutuka kwenye ape like ancestor.Hakuna aliyethibitisha, it's just a theory science imejaribu kuelezea otherwise hakuna kitakachoweza kuelezea kwanini galaxies are not pushed away by the centrifugal force
To answer this.Pia kwann mtu asizaliwe na ufahamu wa MUNGU tangu mwanzo na sio kuanzia kufundishwa kupitia dini na maandiko matakatifu 🤔 ndomana Kuna watu wanazaliwa India wanafundishwa kuhusu mungu Vishnu na krishna na sio Jehovah au Allah , ko hao waliozaliwa India uko na wakafata Imani Yao ya kihindu ko wanatenda dhambi ? Mana MUNGU waliofundishwa na wakubwa wao ni Vishnu na krishna kama ww ulivoshikilia Imani Yako kupitia hiyo dini Yako ya ukristo au uislam na ukafata maandiko matakatifu biblia au Quran ndomana unajiona ww uko sahihi na Kuna wengine kama wanaabudu miungu . Nakuambia hv ww ungezaliwa kule Japan ungekuwa ni muumini wa dini ya Shinto na Wala kamwe usingesikia Allah Wala Jehovah Tena ungeona kama ni vimiungu tu, ww ungekuwa unapigania Imani Yako ya Shinto mana ndo Imani kubwa japan
Ikiwa kama hakuna uthibitisho wa jambo kuwepo, basi default position hapo ni hicho kitu hakipo.naongelea madai gani, nawewe unathibitishaje kwamba yakwako sio madai ?
Wewe ndo hujuwi maana ya theory, theory ni speculations tu. It can be proved wrong, unlike laws ndizo hatuwezi kuzipingaUnajua maana ya theory kisayansi? Kwenye sayansi ukiambiwa theory, maana yake ni facts na Kuna uthibitisho... Kw mfno.. evolution theory, kisayansi ni fact iyo kwa maana imethibitishwa binadamu wali evolve kutuka kwenye ape like ancestor.
Sio kweli kaka, soma dini zote mwanadamu hajapewa free will, ndo maana kwenye ukristo na uislam kwa mfano, Mungu aliingamiza sodoma na gomora, na pia Ile jamii ya nuhu Ili angamizwa, ko kwa Mungu hakuna free will kama unavodai weweTo answer this.
Kitu mungu alichompa binadamu ukitofautisha na viumbe wengine ni free will,
Malaika tangu wanaumbwa wao ni kufanya kazi moja tu waliyopewa na mungu, tofaufi na binadamu amepewa uhuru lakini pia smart enough kutafuta ukweli
Human is the best architect of God
Wewe unaweza kuverify existence ya human Intelligence?? Atokee mluga luga aseme humans are not intelligent just wako na data (simply wanafanya maamuzi kutokana na data walizonazo) utakataa or unaweza kuthibitisha kama tuna intelligenceIkiwa kama hakuna uthibitisho wa jambo kuwepo, basi default position hapo ni hicho kitu hakipo.
Wewe unayesema hicho kitu kipo ndio unayetakiwa kutoa uthibitisho kuwa kipo.
Hiyo inaitwa burden of proof
Kipi kinafanya mtu aamini si kutokana na hiyo milango ya fahamu either kwa kuona, kusikia, kuhisi au kunusa ambayo pia ndio basic ya scienceNilikwambia kwamba, Imani ni kutokuwa na uhakika.
Ndio maana unasema "Naamini mtoa mada amepata muongozo" kwamba huna uhakika kwa asilimia mia kwamba mtoa mada amepata muongozo ila una amini tu, kwamba mtoa mada atakuwa amepata muongozo.
Ungekuwa na uhakika kwa asilimia mia kwamba mtoa mada amepata muongozo, Ungesema
"Najua mtoa mada amepata muongozo"
Na uhakika utakuwa nao kwa vile tayari unajua kwa uhakika zaidi.
Na si kwa imani tena.
Ni ya kipuuzi kwako, sababu we ni muislam bila shaka, ila kisayansi imethibitishwa kwa asilimia kubwa, na kwenye sayansi neno theory maana yake ni facts, kabla hujabisha fatilia, uzuri siku hizi majibu yote tunayo viganjani mwetu .Wewe ndo hujuwi maana ya theory, theory ni speculations tu. It can be proved wrong, unlike laws ndizo hatuwezi kuzipinga
Hakuna aliyeprove theory of evolution still inaremain kama theory, ni nyinyi mnaointerpret vibaya sayansi alafu mnakuja eti kutoa hoja "humans evolved from apes" then what stopping apes from continuing evolving to humans??? Katika theory za kipuuzi moja wapo ni theory of evolution
Dark matter exists because of its gravitational effects on visible matter.Wewe ndo utakuwa wa kwanza kupima dark matter, na ndo wa kwanza kuona kama inaoccupy space. Kafanye research tena kuhusiana na dark matter alafu uje uniambie unaamini ipo au haipo.
Kuwa na free will haimaanishi kama ndo ufanye dhambi, hata mzazi wako atakuadhibu ukikosea lakini hatokupangia maisha yakoSio kweli kaka, soma dini zote mwanadamu hajapewa free will, ndo maana kwenye ukristo na uislam kwa mfano, Mungu aliingamiza sodoma na gomora, na pia Ile jamii ya nuhu Ili angamizwa, ko kwa Mungu hakuna free will kama unavodai wewe
Intelligence inapimika, Kuna adi tests za IQ, je Mungu unaweza kumthibitisha?Wewe unaweza kuverify existence ya human Intelligence?? Atokee mluga luga aseme humans are not intelligent just wako na data (simply wanafanya maamuzi kutokana na data walizonazo) utakataa or unaweza kuthibitisha kama tuna intelligence
Hahaha Sasa iyo sio free will kakaKuwa na free will haimaanishi kama ndo ufanye dhambi, hata mzazi wako atakuadhibu ukikosea lakini hatokupangia maisha yako
nilishatoa mfano nikasema umekuta nyumba inajengwa umekuta na vifaa hapo ila hujakuta mafundi, au huwaoni hapo,Ikiwa kama hakuna uthibitisho wa jambo kuwepo, basi default position hapo ni hicho kitu hakipo.
Wewe unayesema hicho kitu kipo ndio unayetakiwa kutoa uthibitisho kuwa kipo.
Hiyo inaitwa burden of proof
Wewe unaweza kuverify existence ya human Intelligence?? Atokee mluga luga aseme humans are not intelligent just wako na data (simply wanafanya maamuzi kutokana na data walizonazo) utakataa or unaweza kuthibitisha kama tuna intelligence
Na hapa inaonyesha jinsi gani hukuielewa theory ya evolution vizuri, theory ya evolution haijasema tulitokana na nyani, la, inasema sisi na nyani, ngendere, sokwe ni jamii Moja, tuliotokana na babu yetu mmoja, kama ilivyo kwa Mamaba, mjusi na kenge...Wewe ndo hujuwi maana ya theory, theory ni speculations tu. It can be proved wrong, unlike laws ndizo hatuwezi kuzipinga
Hakuna aliyeprove theory of evolution still inaremain kama theory, ni nyinyi mnaointerpret vibaya sayansi alafu mnakuja eti kutoa hoja "humans evolved from apes" then what stopping apes from continuing evolving to humans??? Katika theory za kipuuzi moja wapo ni theory of evolution
Kuna utofauti mkubwa sana wa kuamini na kujua.Kipi kinafanya mtu aamini si kutokana na hiyo milango ya fahamu either kwa kuona, kusikia, kuhisi au kunusa ambayo pia ndio basic ya science
So something invisible causes gravity? And it is massive enough to provide sufficient gravity to hold galaxies. And this makes sense to you but belief in God doesn't ?? 😂Dark matter exists because of its gravitational effects on visible matter.
Lakini mpaka sasa hakuna conclusion ya uhakika ya kuthibitisha dark matter ipo, bado dark matter inabaki kwenye nadharia tu.
I'm not into biology shi*ts, unasema theory of evolution haisemi kama tumeevolve from apes (kasome tena alafu ulete maelezo), ila wote babu yetu ni mmojaNa hapa inaonyesha jinsi gani hukuielewa theory ya evolution vizuri, theory ya evolution haijasema tulitokana na nyani, la, inasema sisi na nyani, ngendere, sokwe ni jamii Moja, tuliotokana na babu yetu mmoja, kama ilivyo kwa Mamaba, mjusi na kenge...