Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Ndo mana nasema nyie atheist hamna uwezo wa kufikiria na kujenga hoja zaidi ya kukariri filosofa za watu,
Sasa eti unanilazimisha nikuprovie hakuna tembo wa brown meanwhile mimi nasema yupo.
Nataka unioneshe logically how did you reach to that conclusion kama mungu hayupo! Unless there was no logic involved wakati unafanya maamuzi yako (Which I presume to be true) hapo tena sitoendelea kuargue manake ni maamuzi binafsi
 
Kivipi assertion iwe tena ni conclusion at the same time?

Hiyo ni logic ya wapi?

Haya tufanye mjadala ambao ni rational

Nipe uthibitisho wa uwepo wa Mungu
Are we arguing about the validity of the assertion I made?
An assertion should be a condition that remains true throughout our logical experiment, it could be derived from the conclusions drawn from previous logically accepted argument
Kuhusu kuthibitisha kama Mungu yupo nilishalizungumza nyuma, tena na wewe mwenyewe so sioni haja ya kurudia
 
Unaweza kwenda benki kukopa hela bila kua na nyaraka za uthibitisho wa mali zako ambazo utaweka rehani ili benki ikupe huo mkopo?

Benki inakuomba utoe hivyo vithibitisho vya umiliki wa hizo mali ili wakupatie mkopo, we unasema mali hizo zipo na kama wanabisha kua hazipo basi wathibitishe kua hazipo.

Hivi kati ya wewe na benki nani mwenye jukumu la kuthibitisha hizo mali ulizodai unamiliki kweli?

Kwamba Benki wana jukumu la kuanza kuthibitisha kama huna hizo asset?
Hii hoja ni pointless, this example clearly doesn't work in this context
 
Ooohh so hii ndo ulivyokuwa unamaanisha uliposema haiwezekani kuproove negative.
Nimekwambia mimi siwezi kuproove hakuna tembo wa brown kwa sababu my logical conclusion zinaishia true sasa huwezi kunilazimisha niproove hayupo, ni sawa na wewe nikulazimishe uproove mungu yupo wakati acc to your logics hayupo, nd mana nakwambia proove your logic kma hayupo
Huwezi ku prove negative kwasababu fact katika logic ni kuwa negative haiwezi kuwa proved au huwezi ku prove negative kwasababu wewe binafsi huwezi ila inawezekana?

Kuna mambo mawili tofauti hapo.

Inawezakuwa ikawa huwezi ku prove kwasababu tu hujaamua au hutaki ila ukawa unazijua procedures.

Sasa mimi nachokitaka ni hizo procedures za kuzifuata ili kuthibisha kisichokuwepo hakipo

Nasema hivyo kwasababu lazima nawewe utakuwa ulikuwa na sababu ya msingi kunisisitizia kuwa nikupe uthibitisho wa kisichopo.

Pengine msisitizo wako ulikuwa na sababu, labda unajua mbinu niambie ni zipi?
 
Ndo mana nakwambia wewe umekariri philosophy,
Ndo unakuja hapa na falsafa zako eti huwezi kuprove negative claim huo ni upuuzi.
Hii ndiyo point iliyokufanya wewe useme huwezi kuprove kama mungu hayupo (sijuwi umetoa kwenye falsafa za wapi but clearly inaonesga uko na poor reasoning and you know nothing about logics)
I can conclude, maamuzi yako yametokana na falsafa na sio logic kwasababu hukuweka logical reasoning ya kufikia maamuzi ya Mungu hayupo
 
Are we arguing about the validity of the assertion I made?
An assertion should be a condition that remains true throughout our logical experiment, it could be derived from the conclusions drawn from previous logically accepted argument
Kuhusu kuthibitisha kama Mungu yupo nilishalizungumza nyuma, tena na wewe mwenyewe so sioni haja ya kurudia
Assertion katika logical argument sio madai tupu ambayo yamebeba hitimisho.

Assertion ni premise inayojaribu kufafanua kitu kingine kwa kukionesha kuwa ndio chanzo.

Nyuma wapi? Maana huko ndio tulipotoka na tumefika hapa tulipo kwasababu hilo swali halijajibiwa.
 
Ndo mana nakwambia wewe umekariri philosophy,
Ndo unakuja hapa na falsafa zako eti huwezi kuprove negative claim huo ni upuuzi.
Hii ndiyo point iliyokufanya wewe useme huwezi kuprove kama mungu hayupo (sijuwi umetoa kwenye falsafa za wapi but clearly inaonesga uko na poor reasoning and you know nothing about logics)
I can conclude, maamuzi yako yametokana na falsafa na sio logic kwasababu hukuweka logical reasoning ya kufikia maamuzi ya Mungu hayupo
Nimekupa uwanja uoneshe ni kwa namna gani unaweza ku prove negative lakini wewe mwenyewe pasipo kulazimishwa na mtu, ukiwa na akili zako timamu (sina hakika sana) umesema huwezi.

Sasa mimi nikisema haiwezekani kuthibitisha negative unaiona mpuuzi.

Hivi yupi mpuuzi hapo?
 
Tatizo hujui hata problem of evil ni nini.

Hapa naona kama naanza kumfundisha guluguja string theory.

Hatupo kwenye level moja.

Inabidi nianze kukufundisha kwanza, uhitimu, halafu ndiyo tuanze kubishana, kama utakuwa na cha kubishana.

It is very frustrating arguing with ignorant people.
Ujinga ni nini ? Ujinga ni kutokufahamu/kujua jambo

Je wewe kiranga ni mjinga ? Nakujibia hili swali, Ndio ni mjinga kwasababu hujui na haufahamu chochote kuhusu imani pamoja na uwepo wa Mungu.

Hitimisho: Huyo unayemuona mjinga nadhani hata yeye anakuona wewe ni mjinga kwakua haufahamu wala kujua anachokijua.
 
Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo kweli, na kwamba habari za kuwepo kwake si uongo na ujinga tu.
 
Kumbe tunabishana vitu ambavyo wewe mwenyewe huelewi sasa.
Fritz zwicky hajathibitisha uwepo wa dark matter, he was the first person to point kuwa mass iliyokuwepo haitoshi kuprovide sufficient gravity for holding galaxies,
Argument ilianza kwenye calculations za Einstein (cosmological constant/ hakuna aliyeichukulia kama dark energy) japokuwa mwenyewe aliidiscard until fritz zwicky alivyokuja kumake logic on the existence of this invisible form of matter that covers the rest of the universe.
Kasome vizuri, wacha kuweka vitu huvijuwi
Narudia tena, hakuna aliyeprove uwepo wa dark energy or dark matter, sisi tunasema kama ipo only kwasababu galaxies haziwi pushed away and there's no normal matter enough to provide such gravity
Wameprove wanasayansi, usibishe kaka... Fanya research. Dark matter ipo
 
Halafu hapohapo Tetemeko la Ardhi linaua maelfu Tsunami nayo inakuja kumalizia inaua mpaka Wanyama na Samaki.

Watoto wanazaliwa na wameungana wengine wanazaliwa na Jinsia mbili je hayo sio makosa ya Mungu?!

Au waandishi wa vitabu vya Dini walimlisha maneno Mungu?!

Mungu yupo ila kuna Stori nyingi tu kasingiziwa na Binadamu.
Mungu hayupo, hizo ni nadharia tu
 
Halafu hapohapo Tetemeko la Ardhi linaua maelfu Tsunami nayo inakuja kumalizia inaua mpaka Wanyama na Samaki.

Watoto wanazaliwa na wameungana wengine wanazaliwa na Jinsia mbili je hayo sio makosa ya Mungu?!

Au waandishi wa vitabu vya Dini walimlisha maneno Mungu?!

Mungu yupo ila kuna Stori nyingi tu kasingiziwa na Binadamu.
Ko Imhotep unaamini Mungu, ambae hujawah hta kumuona?
 
Nimekupa uwanja uoneshe ni kwa namna gani unaweza ku prove negative lakini wewe mwenyewe pasipo kulazimishwa na mtu, ukiwa na akili zako timamu (sina hakika sana) umesema huwezi.

Sasa mimi nikisema haiwezekani kuthibitisha negative unaiona mpuuzi.

Hivi yupi mpuuzi hapo?
Hujanipa uwanja wa ku-prove Negative, umenipa argument ambayo kimsingi conclusions zangu ziko positive na mada alafu wewe unataka kunilazimisha ni prove negative, mzee kichwa chako ni kizima ??? That's not how things works
Ndo mana nawaambieni mmekunywa falsafa za kipuuzi
 
Assertion katika logical argument sio madai tupu ambayo yamebeba hitimisho.

Assertion ni premise inayojaribu kufafanua kitu kingine kwa kukionesha kuwa ndio chanzo.

Nyuma wapi? Maana huko ndio tulipotoka na tumefika hapa tulipo kwasababu hilo swali halijajibiwa.
Ndo mana nawaambieni nyie ni watu wa kukariri falsafa
 
Wameprove wanasayansi, usibishe kaka... Fanya research. Dark matter ipo
Hakuna mwana sayansi aliyeprove uwepo wa dark matter, kafanye research zako vizuri uelewe then come again
Sio unakuja kuleta mtu ambaye hata hujuwi alifanya nn unasema aliprove dark matter
 
Hujanipa uwanja wa ku-prove Negative, umenipa argument ambayo kimsingi conclusions zangu ziko positive na mada alafu wewe unataka kunilazimisha ni prove negative, mzee kichwa chako ni kizima ??? That's not how things works
Ndo mana nawaambieni mmekunywa falsafa za kipuuzi
We ndo uliekunywa falsafa za uongo za Mtume Muhammad
 
Back
Top Bottom