MWANZA
Usagara pale ni kisanga Hadi saa 7 usiku gari utapata za kwenda mikoa yote.
Morogoro
Juu wadau washasema Cha kuongeza na gairo pia magari Hadi saa 10 alfajiri unapata
Kibaha
Huwezi kupata gari ilikuwa misugusugu zamani na better uende zako mbezi kwa UHAKIKA zaidi.
Mbeya inafahamika Uyole
Makambako
Pale mizani gari hata saa 8 usiku unapata
Dar-Arusha
Nenda Bunju hutojuta
Usijiroge kwenda mbezi utakeshaaa