UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

MWANZA
Usagara pale ni kisanga Hadi saa 7 usiku gari utapata za kwenda mikoa yote.

Morogoro
Juu wadau washasema Cha kuongeza na gairo pia magari Hadi saa 10 alfajiri unapata

Kibaha
Huwezi kupata gari ilikuwa misugusugu zamani na better uende zako mbezi kwa UHAKIKA zaidi.

Mbeya inafahamika Uyole

Makambako
Pale mizani gari hata saa 8 usiku unapata

Dar-Arusha
Nenda Bunju hutojuta

Usijiroge kwenda mbezi utakeshaaa
Mkuu bunju kituo gan
 
Back
Top Bottom