UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

Eleminator

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2022
Posts
597
Reaction score
975
Habari ya muda huu wakuu wa JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo
DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis]

kwa dar ukitoka tu pale stand ya daladala ya mbezi luois baada ya kupita kile kivuko cha watembea kwa miguu kwa mbele kidogo(uelekeo wa kuelekea kibamba) utakuta kituo ambacho utapata usafiri either wa private(mtu binafsi) au coaster na ni MIKOA YOOTE
Dodoma[Cbe]
kwa mkoa wa dodoma pale cbe mbele kidgo ya bunge la jamuhuri(uelekeo wa kwenda nane nane/nzunguni), hapo pia utapata kituo ambacho muda wowote hukosi usafiri wa mkoani

. Tuendeleze na mikoa mingine kwa ajili ya kurahisisha Mambo
#UZI UENDELEE
 
Dodoma-Iringa siku hizi unatafuta Mkonze, zamani ilikuwa Maghorofani.
Iringa-Dom nenda Kihesa.
Iringa - Mbeya unashuka zako Ipogoro
Mbeya - Iringa then Dar au Dom ni pale Uyole.
 
Habari ya muda huu wakuu wa JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo
DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis]

kwa dar ukitoka tu pale stand ya daladala ya mbezi luois baada ya kupita kile kivuko cha watembea kwa miguu kwa mbele kidogo(uelekeo wa kuelekea kibamba) utakuta kituo ambacho utapata usafiri either wa private(mtu binafsi) au coaster na ni MIKOA YOOTE
Dodoma[Cbe]
kwa mkoa wa dodoma pale cbe mbele kidgo ya bunge la jamuhuri(uelekeo wa kwenda nane nane/nzunguni), hapo pia utapata kituo ambacho muda wowote hukosi usafiri wa mkoani

. Tuendeleze na mikoa mingine kwa ajili ya kurahisisha Mambo
#UZI UENDELEE
MWANZA
Usagara pale ni kisanga Hadi saa 7 usiku gari utapata za kwenda mikoa yote.

Morogoro
Juu wadau washasema Cha kuongeza na gairo pia magari Hadi saa 10 alfajiri unapata

Kibaha
Huwezi kupata gari ilikuwa misugusugu zamani na better uende zako mbezi kwa UHAKIKA zaidi.

Mbeya inafahamika Uyole

Makambako
Pale mizani gari hata saa 8 usiku unapata

Dar-Arusha
Nenda Bunju hutojuta

Usijiroge kwenda mbezi utakeshaaa
 
Imekaa uzuri hii
 
Back
Top Bottom