Uzi maalum kwa wastaafu kupeana changamoto mbalimbali na connection

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
 
Tunateseka sana mzee mwenzangu

Hata utelezi hatuupati kirahisi
Mzee mwenzangu utelezi unazidi kuchosha mwili na kumaliza pensheni.

Jenga nyumba town za mzunguko pangisha kisha urudi kijijini kujenga mjengo, kufuga, kilimo, duka la kupotezea muda.

Hutakiwi kuwa na stress utelezi waweza leta magonjwa pesa wazitafune wengine.
 
Wastaafu ebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
Elekea morogoro hiyo hela itatosha piga kilimo chako cha heka tano hivi utaishi kwa raha, fuga na samaki wako wa kupata vi mia mbili hasa kambale hawana complication.
 
Kuna mzee mmoja alisema, ukistaafu usirudi kijijini, utakufa mapema
 
We niache na hela za kukulisha wewe na kizazi chako

Wacha ntafte utelezi
 
Wastaafu ebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
Nyie sio wastaafu bali mliosimakishwa kazi maana kama unastaafu halafu unatafuta connection kama graduate basi wewe sio 🤣
 
Ila mafao yanaisha haraka sanaaaaaa haswa ukiwa na ATM card, mimi naichukia sana ATM card maana unaenda kutoa tu kila zikiisha unaenda kumbe na kule kwenye acc ndio zinaondoka hazirudi tena.....

Kuna siku nilienda bank nikatoa nyingi basi nikawa nazo ndani nachomoa mdogo mdogo kuja kuangalia bahasha ipo tupu yaaani mpk nikaichana ili kuhakiki maana nikawa siamini aiseeee hela inaenda
 
Duu
 
Kustaafu kazi maana yake ni muda wa kupumzika na kula maisha uliyotafuta miaka yote ya nyuma. Sasa kama wewe muda wa kustaafu ndio wa kujipanga basi kuna mahali uliteleza katika umri wa kazi. Na sisi tujifunze kwa hawa wazee asee.
 
NAHITAJI MTENGENEZA MATANGAZO MADOGO, YA POWERPOINT KWAAJILI YA MITANDAONI
NICHEKI HAPA ⬇️ ⬇️⬇️
 
Ukistaafu ni muda wa kuwa karibu na wajukuu na Mungu, acheni papuchi nyie wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…