Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mwenzangu utelezi unazidi kuchosha mwili na kumaliza pensheni.Tunateseka sana mzee mwenzangu
Hata utelezi hatuupati kirahisi
Elekea morogoro hiyo hela itatosha piga kilimo chako cha heka tano hivi utaishi kwa raha, fuga na samaki wako wa kupata vi mia mbili hasa kambale hawana complication.Wastaafu ebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
We niache na hela za kukulisha wewe na kizazi chakoMzee mwenzangu utelezi unazidi kuchosha mwili na kumaliza pensheni.
Jenga nyumba town za mzunguko pangisha kisha urudi kijijini kujenga mjengo ,kufuga,kilimo ,duka la kupotezea muda .
Hutakiwi kuwa na stress utelezi waweza leta magonjwa pesa wazitafune wengine.
Nyie sio wastaafu bali mliosimakishwa kazi maana kama unastaafu halafu unatafuta connection kama graduate basi wewe sio 🤣Wastaafu ebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
DuuIla mafao yanaisha haraka sanaaaaaa aswa ukiwa na ATM card mimj naichukia sana ATM card maana unaenda kutoa tu kila zikiisha unaenda kumbe na kule kwenye acc ndio zinaondoka azirudi tena.....
Kuna siku nilienda bank nikatoa nyingi basi nikawa nazo ndani nachomoa mdogo mdogo kuja kuangalia bahasha ipo tupu yaaani mpk nikaichana ili kuhakiki maana nikawa siamini aiseeee hela inaenda
...Hata kama Hufi mapema, Utachakaa na Kuzeeka mapema...!Kuna mzee mmoja alisema, ukistaafu usirudi kijijini, utakufa mapema