Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
- Thread starter
- #21
Karibuni kwa maswali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je huwa wanauplift kodi au inayoonekana kwenye calculator ya tra ndio hiyo hiyo? Swali hili sio la nadharia bali la uzoefu ikiwa tu unazoefu. Mfano unaweza angalia gari online cif yake $10,000 lakini ukiingiza kwenye kikotoo inaonyesha kodi ambayo ukiangalia cif kwenye kikokotoo ni $6,000, kwakuwa kikotoo hakiangalii bei bali aina ya gari, mwaka n.k, Huko nyuma walikuwa wanauplift ushuru kuendana na cif halisi, je sasa hivi ikoje.Karibuni kwa maswali.
Hello, kuhusu swali kama lako, nililitolea ufafanuzi hapo juu.Je huwa wanauplift kodi au inayoonekana kwenye calculator ya tra ndio hiyo hiyo? Swali hili sio la nadharia bali la uzoefu ikiwa tu unazoefu. Mfano unaweza angalia gari online cif yake $10,000 lakini ukiingiza kwenye kikotoo inaonyesha kodi ambayo ukiangalia cif kwenye kikokotoo ni $6,000, kwakuwa kikotoo hakiangalii bei bali aina ya gari, mwaka n.k, Huko nyuma walikuwa wanauplift ushuru kuendana na cif halisi, je sasa hivi ikoje.
Siajaona ulipojobu, toa majibu hapa au kama huna jibu ni sawa pia.Hello, kuhusu swali kama lako, nililitolea ufafanuzi hapo juu.
WooohyyHello,
Ahsante kushukuru.
kuhusiana na kwanini TRA hua wanatoza kiasi ambacho huonekana kama ni sawa ama zaidi na bei ya kununulia gari yenyewe. Kwa majibu ya kina kabisa, nadhani wao (TRA) Ndio wanaweza kuyatoa na kwa ufafanuzi mkubwa zaidi.
Kuhusiana na Noah,
naomba nikupe mfano halisi wenye michanganuo.
(kwenye link hiyo hapo juu, ni toyota Noah SR40 )
Bei ya manunuzi hadi kuifikisha bandari ya Dar es salaam ni $4,4497 (TZS 10,792,800 )
Ushuru wake ni TZS 6,553,000/=
(Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System)
Ambapo itakuja jumla ya TZS 17,345,800/=
Unapaswa kuwa na TZS 800,000/=
ambayo ita-cover
- Port Charges
n.k
- Shipping Line
- : Walfage
- Agent Fee (gharama za agant wako atakae kutolea gari lako bandarini)
ambapo jumla itakua 18,145,800/=
usisahau kuhusiana na bima utahitajika gari yako kuikatia bima.
comprehensive watakutoza TZS 750,000/=
Jumla kuu TZS 18,895,800/= Hadi barabarani /mikononi mwako
bei sawa na ALPHARD
Hello,
Ninaishi Madale
Sawa aunty, ki-rav4 kinakufaa.Ninaishi Madale
Forester ya mwaka gani exactly ?
Maana ziko tofauti tofauti sana
Uagizaji - $4,751 (TZS 10,970,400)View attachment 1764589
Yamwaka 2009
Nina shida Kama yako.. Ila Mimi nikwenye kujenga! Nina milioni 35 Ila QS amesema nahitaji milioni 70 kumaliza nyumba. Nahitaji kuamia haraka! Ukimpata mtu wakukusaidia niunganishe na mimi.Mi nahitaji kununua Nissan Civilian, nimechunguza nikaona zinaanzia Mil 40...tatizo ni kwamba mm nina Mil 20 tu. Naombeni ushauri nifanye je ..maana ninaihitaji haraka aisee.
Hello, sina uhakika sana kama suala hili umeliwasilisha kwenye uzi sahihi.Nina shida Kama yako.. Ila Mimi nikwenye kujenga! Nina milioni 35 Ila QS amesema nahitaji milioni 70 kumaliza nyumba. Nahitaji kuamia haraka! Ukimpata mtu wakukusaidia niunganishe na mimi.