Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
- Thread starter
- #41
Karibu kwa maswali!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kwa maswali!!
Habari, naomba utoe elimu kwa mtu ambae hajawah kuagiza gari lakini anataka kuagiza gari kwa mara ya kwanza.
Sio kutumia waagizaji magari, yaani kuagiza mimi kama mimi. Mambo ya kuzingatia ili gari ifike kwa usalama n.k
Kwa 2005Mkuu Suzuki jimny ya mwaka 2005>> 1.3L ina gharama kiasi gani.
Compared with
Suzuki jimny ya 660cc ! 2005
NitafuteMi nahitaji kununua Nissan Civilian, nimechunguza nikaona zinaanzia Mil 40...tatizo ni kwamba mm nina Mil 20 tu. Naombeni ushauri nifanye je ..maana ninaihitaji haraka aisee.
acha utapeli mkuuKuna jamaa yangu anatamfuta mtu amuuzie ist,ameiagiza from japan imefika bandarini pesa ya kugombolea ni kama 6m,yeye ameiagiza kwa kama 5m!
Anatafuta mtu amrudishie hiyo 5m then yeye achukue hiyo ist mpya
Namba zake ni 0736770052
Endelea tu kuhisi utapeli wakati na gari yenyewe ishauzwa na mteja alipatikana humuhumu!acha utapeli mkuu
Sasa kama imeuzwa tayari ni sawa, mambo ya kulengeshanaEndelea tu kuhisi utapeli wakati na gari yenyewe ishauzwa na mteja alipatikana humuhumu!
Siku ingine jaribu hata kupiga simu ujiridhishe kwa maelezo na vithibitisho sio tu unahisi kila mtu ni tapeli,
Sio unaita watu matapeli bila kuupata ukweli,we wawapi aisee
Umekosea sana kuniita tapelisasa kama imeuzwa tayari ni sawa, mambo ya kulengeshana
Sasa mkuu nikuombe msamaha kwa lugha nyepesi, samahani! ww na mimi tunaeza kuwa tunatafuta riziki lakini hivi sasa watu waaminifu wamepungua sana, umakini ni lazima na uangalizi wa mali wa hali ya juu. siku hizi hawa matapeli wamekuwa wakifariji wateja kwa lugha nzuri kumbe siyo.Umekosea sana kuniita tapeli
Hunijui sikujui ungeniuliza tu kistaarab alafu ungeona sielewek ndo uje hapa useme mimi tapeli
Umenikosea sana sana
Mkuu ruli hata mimi hii gari imenivutia vp unaijua vizuri unipe mwanga na mimi kidogo?maana naiona iko kama Nissan AD yangu.Bei gn mpaka naipataView attachment 1780835
Bei gn mpaka naipataView attachment 1780835
SpacioNahitaji gari ya kishua yenye space nzuri na ulaji wa mafuta mzuri ambayo naweza enda nayo shamba au starehe bajeti 12m kwa kila k2
Mkuu nipe Mchanganuo kuingiza Nissan Extrail ya mwaka 2009 hivi..Spacio
Nissan xtrail