Wakuu
Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa.
Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza figisu za kutuminya kipindi cha Uchaguzi.
Sijui alikuwa na wasiwasi wa nini?
Uchaguzi mkuu ulivyofika akazima internet baada ya kuona kila mahala kapata kura kiduchu na kura feki za kumnusuru zinazosambazwa na vijana wake zinarekodiwa kwa simu na kurushwa mitandaoni.
Sasa ni zamu yake Rais Samia.
Muda umefika wa yeye kujua rangi halisi za watanzania. Hivi kweli tutatoboa kipindi cha Uchaguzi bila kuzimiwa Intaneti?
Ukizingatia mambo kama tozo, DP World, mgawo wa umeme, kuhamishwa kwa Wamasai wa Ngorongoro, kufukuzwa kwa Wamasai wa Loliondo, rushwa na upigaji serikalini, kukopa mikopo kuliko kithiri.
Hivi kweli rais Samia hatazima internet kwenye uchaguzi ujao?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
SOMA PIA

- Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti
- Kuna kila dalili zifikapo nyakati za uchaguzi mtandao utapunguzwa kasi ama kuzimwa kabisa. Tufanye nini kukabiliana na hali hiyo?
- Tujikumbushe Oktoba 2020 kipindi cha uchaguzi,uliteseka na mtandao ukiwa wapi?
- Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali
- Speed ya intanet imepungua sana Tanzania tumerudi 3G?
- Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti
- Waziri Nape: Usajili wa VPN unafanyika ili kuwatambua Watumiaji wa Intaneti
- Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?
- Pre GE2025 Hali ya internet ikoje maeneo ulipo? Unaweza kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii bila shida?