Pre GE2025 Uzi maalum wa hali ya kimtandao kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Intaneti itapatikana au itazimwa kama 2020?

Pre GE2025 Uzi maalum wa hali ya kimtandao kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Intaneti itapatikana au itazimwa kama 2020?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna chochote kitafanyika, ule ni usanii kama usanii mwingine. Hiyo miswaada mitatu yenyewe imekwepa matakwa halisi ya vyama vyote.
Kwani misaada ililenga kuwafurahisha nyie machadema au?
 
Tutaangalia maslahi ya taifa na usalama wa nchi. Hata jua litazimwa kama nchi itakuwa na sintofahamu ya kiusalama
Bora umewaambia ukweli,Huwa nawaambia hakuna system ya kumpoteza Rais kama Samia kisa wapumbavu wengi dizaini ya Machadema na Suku gang.

Samia ndio Rais hadi 2030 Kwa maslahi mapana ya Nchi.

Uzuri hata ukisema tozo,utaoneshwa kazi ya tozo ,Leo hii ukienda Tarura wamefungua maelfu ya Barabara Vijijini sababu ya tozo harafu anatokea mbuzi mmja analeta upuuzi.

Machadema nyie kazi yenu ni kunogesha zoezi la uchaguzi na sio kushinda haitokaa itokee.
 
Kupiga kura ambayo haina impact yoyote kwenye matokeo, ni matumizi mabaya ya raslimali muda. Mtu mwenye muda wa kupoteza tu ndio ataenda kushiriki huo upuuzi.
Watanzania wengi wana muda wa kupoteza kufuatilia mipira ya Simba na Yanga, kushinda Bar wakinywa pombe na kuzozana mitandaoni nyuma ya keyboard watakosaje muda wa kupoteza kushiriki uchaguzi kupiga kura kwa siku moja tu??.
 
Nimewahi kuchungulia ndani uchaguzi 2020 kimsingi Mimi kupiga kura tume hii niujinga kama kujinyea hadharani.
 
Watanzania wengi wana muda wa kupoteza kufuatilia mipira ya Simba na Yanga, kushinda Bar wakinywa pombe na kuzozana mitandaoni nyuma ya keyboard watakosaje muda wa kupoteza kushiriki uchaguzi kupiga kura kwa siku moja tu??.
Kama ni hivyo wasingepika idadi ya wapiga kura na ya kura.
 
Mama bila nguvu ya Internet na kucheza rafu za saa 8 mchana kamwe hatotoboa..
Yaani siku hiyo hata saa 5 mbali na ajabu kubwa Ni pale jamaa xetu wanapomhakikishia ushindi wa kishindo
Sitarajii kama uhuni kama wa jiwe itarudiwa mbele ya macho ya dunia maana ikiwa basi mama atamaliza utawala vibaya sana
 
Sasa wewe ndugu hapa ndiyo umebisha au umeunga mkono?
Mimi nimemueleza tu mleta mada kuwa kwa sasa hakuna mpinzani wa kushindana na Rais Samia labda tusubili 2025 ikifa pengine atatokea mshindani wa kushindana nae ila kwa sasa Wapinzani wamechoka
 
Hayo uliyoandika mbona mumeanza nayo Toka day 1 na Bado yupo Hadi Sasa huku Wananchi Wakiwapuuza?

Siasa Zina operate Kwa nyakati husika sio historia

Mwisho hata akizima internet utamfanya nini Kwa mfano? Maana Rais ni Samia nyie wengine mnanogesha mechi tuu.
Ndugu ujue hapa ni jukwaa la siasa hivyo basi wacha wana jukwaa watoe maoni yao
 
Bora umewaambia ukweli,Huwa nawaambia hakuna system ya kumpoteza Rais kama Samia kisa wapumbavu wengi dizaini ya Machadema na Suku gang.

Samia ndio Rais hadi 2030 Kwa maslahi mapana ya Nchi.

Uzuri hata ukisema tozo,utaoneshwa kazi ya tozo ,Leo hii ukienda Tarura wamefungua maelfu ya Barabara Vijijini sababu ya tozo harafu anatokea mbuzi mmja analeta upuuzi.

Machadema nyie kazi yenu ni kunogesha zoezi la uchaguzi na sio kushinda haitokaa itokee.
Njaa naona imekupanda hadi kwenye medulla
 
Watanzania wengi wana muda wa kupoteza kufuatilia mipira ya Simba na Yanga, kushinda Bar wakinywa pombe na kuzozana mitandaoni nyuma ya keyboard watakosaje muda wa kupoteza kushiriki uchaguzi kupiga kura kwa siku moja tu??.
Kupiga kura ni haki ya kila mtu hivyo sioni hoja hapa
 
Back
Top Bottom