Pre GE2025 Uzi maalum wa hali ya kimtandao kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Intaneti itapatikana au itazimwa kama 2020?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu kwanini kumeanzishwa jukwaa mpya la KigogoForum?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka azime internet anamuogopa nani wakati Wapinzani wake wote mpaka sasa wapo hoi?
Labda tusubiri 2025 lakini kwa sasa Wapinzani wote wapo ndembendembe wamechoka
Hata magufuri alikuwa na woga hata sijui ulitokana na nini maana nae wakati huo hata hakukuwa na upinzan wa kihivo sana
 
Atazima tu,ccm ni ile ile.
 
Kama Tume huru ya uchaguzi haipo, Makada wa chama tawala ndiyo watangaza matokeo, na matokeo ya Rais hayapingwi mahakamani, mahakimu pia ni wateule wa Rais, Polisi nao ni waajiriwa wa mfumo huo huo, .........
 
Mapema sana shwaaa
 
kizimkazi
 
Mpaka azime internet anamuogopa nani wakati Wapinzani wake wote mpaka sasa wapo hoi?
Labda tusubiri 2025 lakini kwa sasa Wapinzani wote wapo ndembendembe wamechoka
Wamechoka ndio maana hataki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, akisikia NO REFORM NO ELECTION sekretariet yake yote ya CCM wanajikita kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…