Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Ndo Nini maana yake mbona sasa kama kuchunguzana
 
Sijawahi ona maana mm sio mtu wa kujichanganya na watu.
Karibu maskani hapa tunywe supu ya ngisi..
Nikija utakuwa unanipeleka Darajani nyakati za usiku nikale ugali maharage
 
Jina Jacob
Kabila mnyakyusa
Kazi Dereva
Kuishi tabata,segerea, Boko, bunju Mbagala now

Magufuli sio malaika akikosea akosolewe
 
Jina: Mzee MKavu

Naishi:Magogoni
Kazi: Mechanical Engineer
Mahusiano:Bado naangalia hapa na pale sijatosheka kiukweli
 
Jina: Shetan
Makazi: Motoni
Kazi: Kuhakikisha napata wafuasi wangu huku kuzimu
Ujumbe; Tenda dhambi, Hakuna Mungu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…