Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Jina: Mussa Allan Mavunga.
Kazi: Mjasiriamali
Mkoa: Arusha.
Mtaa: Njiro Corona.

Karibuni.
 
Mi sina kazi ila nimejiajiri jina LA kwanza naitwa Ken ,a businessman, nakaa Mbezi Beach,...life is beautiful!
 
Jina: ngwangwara ngwarri nkorarato Mkwayungwara.
Kazi: akashia muuza makinikia
Utajiri: trillion 180
Mkoa: Jf
Ujumbe: Nanunua na kuchakacha makinikia
 
Jina,,, NAMELESS

Residents,,,, KIBITI

Job,,,, MWENYEKITI WA KUJITOLEA

Mshahara,,,, Million 8 cash per month

Your So Welcome At "KIBITI" feel peace my friends........
 
Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
Hivi kuna junior electrical engineers?

Afu we Bony utawezaje kuwa "engineers"?

Haya kesho tutafutane hapo Makuti Bar au kwa Mwanandio nikutafutie mchumba pale.
 
slimdady
jina😱scar
eneo;kyela mbeya
kaz street hustler
love kompiliketedi
ujumbe
vijana tushuke sana chumvini ili tusizeeke kabla ya umri wetu
 
Back
Top Bottom