Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

🚶🚶🚶
 
😁😁😁
 
alafu hizi ni chache zilizokua reported ha ha ha ha Haha ha ha
 
😂😂😂
AIXnbk.jpeg
4WRr.jpeg
AETTG.jpeg
QAMmrh.jpeg
 
👇😁😁😁
 
😭😭😭
 
😁😁😁
 
Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia.

Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze kufuatilia pia.

Nawe ndugu mtazamaji ukiwa na tukio au video za kula bila kuvimbiwa na zile za kujipimia pia unaweza kuposti hapa[emoji16][emoji16][emoji16]

Hizi video chache hapa mwanzo ni trela tu video nyingi pamoja na picha zitakuwa ndani ya uzi huu kadri uzi utakavyokuwa unatembea.

Enjoy[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2190913
View attachment 2190914
View attachment 2190915

View attachment 2190917View attachment 2190916
Wewe uko makini Sana! Yavue nguo haya mapimbi ccm ni majangili makubwa Sana!
 
Back
Top Bottom