Kichogo acha zako mi nna mke utaniharibia🐸Mnamponda Merry D pembeni mnamlia nyeto,
Oyaaa Huyo demu wa Nomadiq kuweni makini atawapiga beto,
Cc; Nomadiq kichogo 😹😹
Unazungumzia ghetto, wakati kwako panya wamefurika,Kwa kweli mbali nimetoka na nimefika mbali,
Sifanani na wewe wa hapo kijiweni Mwakaleli,
unawalawiti wanyama hapo mtaani kisa huna Mali,
Hebu nakusihi toka hapo ghettoni wewe Ali
La svyo utadhalilishwa sana na huyo mkeo aitwaye pili,
hutaki kufanya kazi unaamini pesa hupatikana kwa kusali,
pambana sana dogo muda bado upo huu ni mwezi July.
Eti Traore ndivyo unavyojiita.Unajisifu una level za Uingereza, wakati hata visa huna,
Upo hapa hapa Bongo, unakomaa na kula kimasikhara jf,
Unasema vita unaiweza, mbona baridi linakutetemesha?
Hiyo familia ukiona inajikusanya, ujue inakuja kukuzika na kukupoteza!
Unajiona upo juu, kumbe umebebwa na upepo wa dhoruba,
Huna jipya kwenye game, mistari yako imechoka kama tairi chakavu la guta
Ok hapa mistari ndio mtaji.Mkali hizi ishu nimekuja kwa bajaji,
Kabla ya kuja nilipiga kwanza maji,
wife alinipea kei na kunifanyia masaji,
sasa kaeni tayari kwa ya kikatili mauaji.
Huenda mpaka leo unavuta bangi.Mmenikumbusha kipindi niko sekondari navuta bangi
Kishimbe wa kishimbe.View attachment 3621719
Nye haya masera endeleeni kujiresi!
mtaamsha masta anaejua harasi!
mparamie vigagu muambulie fangasi!
tamu ya ngoma DJ msilete sarakasi!
kwenye mambo ya ujuzi inataka siriasi!
Kama kuweza naweza ila sipendi kujisifia,Yeah hii ni weekend.
Ni muda wa ku spend.
Time na vichenji.
Baki home kama hupendi.
Umenena jambo la msingi.Kujiamini ndo msingi
Uwe janki au dingi
Kuwa makini wasikuweke kingi
Maana wana visa vingi
Ruka vigingi
Uisake shilingi
Hapo umenena.Vijana fanyeni Kazi
View attachment 3621739
Usiwe kama kiazi
Msipotezwe na maManzi
Msiwe na Wenge kama panzi
Fanyeni maendeleo ya kasi
Penye shida pita kama risasi
Mwache bifu msilipize visasi
Wewe ndio unaleta michambo.Ni vile wengine hatubongi/
Ila tuna mistari fichua maovu kama Konki/
Tunapost JF kwa kutumia Nokia tochi/
Huogopi/
Chef nawapa ugali plain maana mme-lost/
Naona hamchani mnachambana ka' mashosti/
Aaargh!
Bro usije kwa mbwembwe mwisho utoke na aibu.shule zimefungwa
hawa watoto wa jf kujikuta wanatunga
wakati me ndo mchunga
wao ni mbuzi AKA mapunga
Ok bro relax.Tazama, hamjani_tag ila ndo hivi nishazama,
Na tena, bila hiyana nawapelekea moto ile kinoma,
Nasema, mje mia kwa mmoja namba mtaisoma,
Daima, natena madini ukiyapata umepata neema,
Ona, nilivyozipiga puch hizi lines bila huruma
Africa kwenye mpira hawamo.Naona mwafrika mwenzetu ghana ameshakalishwa
Acha tulale zetu sisi ambao tumekesha
Hivi hili bara letu mbona linachekesha?
Ila ngoja tutulie tu labda Morocco watatuheshimisha
Troure unaUnajifanya unagawa koni, kumbe unalilia vocha ya jero,
Huyo 'Simba mzee' unayejiita, mbona unafukuzwa na kuku wa kienyeji kwa mkwara mmoja
Unajiona Chibu Dee wa mjini, wakati unanuka jasho la kubeba zege,
Mistari yako imepinda pinda, imechoka kama tairi ya baiskeli ya mshale!
Kilemba unachosema nikivae, nenda kamvike bibi yako akatambike,
Maana tangu umeanza kurap, unatoa sauti kama wanakupiga mande.
Unasema unajua kupuliza zezee, kumbe hata filimbi ya doria inakushinda pumzi,
Kuanzia leo ukiandika upuuzi kama huu, rudi shule ya msingi ukasome herufi!"
"Mfunge kamba ni nimfunge shanga/mwehu namkata gogo vinabo waanue matanga!."Nukimkamata huyo dogo namfunga kamba,
Nitakuwa namlazimisha dushelele langu kuilamba,
then nikimvaa nahakikisha anapasuka msamba,
tena nitakuwa namshughulikia kwenye shamba.
Dula makabila tahira asiye na dira/ mtoto wa kiume inakuaje pigo za dera?!.Kitambo jief kulikuwa na akina Malila,
Kila post ni nondo hakuna umbugila,
Mambo yamegeuka kama mzee kigaila,
Majukwaa ni mikorogo kama ya Dula makabila,