Hii umeuaπ₯Siku zote mwehu hawezi kuwa jiniazi.
Kiufupi we ni kiazi.
Kwanza vaa vizuri hiyo blauzi.
Then punguza mashauzi.
Msikilize kwa makini Mjomba Malume.
Anaongea yeye kama mwanaume.
Anasema punguza upaka shume.
Embu njoo kwanza nikutume.
wanaoleta battle kwanza wakae kushoto,Ok, ninaposema baniani ni wahindi waliozagaa,
Mex Cortez ndiye Manimendra kurap anajua,
yeye anaasili ya Sri Lanka Tanzania amezamia,
Yupo ndani ya tamaduni music hip-hop ya TZ anainyanyua,
je unaukumbuka sera ya gabacholi ya Mtikila ama laa?
Katika tumbo Moja walitoka kurwa na doto,Duh haya maisha yana changamoto
Yaani watu mnawaza nyeto
Mtakufa kama Augustino Neto
Hamtopona kwa mseto
Ngoja mistari ijae tenaKatika tumbo Moja walitoka kurwa na doto,
Ukisikia 'jotoridi' tambua kuwa ni baridi na joto,
Ukimwaga manii ukilala huo ni unyevu wa ndoto,
kuikata hali hiyo nyetukua kwa mlenda wa moto,
na ukishaota ndoto nyevu tambua wewe si mtoto,
kumaanisha sasa umebalehe yakupasa kuacha utoto,
Yaani waweza pachika mimba binti akipata joto.
Kwanza kama huna mwana ukaelekee kokoto,wanaoleta battle kwanza wakae kushoto,
Huu moto wa madon hawawezi watoto,
Vina vimepita mwanza sio tanga Lushoto,
Wakijaribu mkongβoto kooh kooh
Kwangu kila mechi ni ushindi.
Tena ushindi mwingi.
Nishavunja vigingi.
Sembuse wewe pimbi.
Pande zangu wananiita Kingi.
Hizo pande hutimbi.
Kuoa kaoa bata na bado kuku wanamkaza,Kichogo acha zako mi nna mke utaniharibiaπΈ
Mitaa imewaka inataka punch line,Kwanza kama huna mwana ukaelekee kokoto,
dogo unamuuliza, "Kuna aina ngapi za uoto?"
kwa vile shule hajasoma anajibu, "sweet potato",
Yaani majibu anayotoa yanakufanya upate moto.
Kichogo unaona wivu mixer na maumivuKuoa kaoa bata na bado kuku wakamkaza,
Wewe kula milupo kwa kujigalagaza,
Hata kitumbua cha buku piga chenye mchanga,
Na utamu ukizidi kata na shanga, πΉπΉ
Kichogo sihitaji mkenya wala mkongoDogo Una mingi mikogo,
Jaribu kupaka vumbi la Kongo,
Ukiwa mchezoni upige mshindo,
Siku nyingine upewe na bingo, πΉπΉ
Wewe kibamia unapikwa mlenda,Kichogo unaona wivu mixer na maumivu
kitandani huna lolote livivu πΈ
Nimepata msikivu baki na vichogo wenzako mi nakula mbivu π
Oya nyoka wa kijani amejificha kwenye m-pine,Mitaa imewaka inataka punch line,
bila pen bila paper naacha sign ,
usinipe demu nipe beat kwangu fine ,
nitembee Kama pac au Wayne
Kibamia wapi uliukimbia motoWewe kibamia unapikwa mlenda,
Merry D kakubwaga kitandani unatoa udenda,
Haisimami mpaka upigwe uwemba πΉπΉ
Niko single ready to mingle,Kichogo sihitaji mkenya wala mkongo
unadhani mi ni hao wenzako wenye mapengo π π
utaendelea kubaki singo kichogo
Mimi huwa naangalia tu!View attachment 3622635
secretarybird sogea na kalamu tayarisha!
Kipondo Mjomba Malume anaenda kuharisha!
Mashabiki hukuhitaji wewe wafahamisha!
Nawe kamisaa cocochanel pakukaa tayarisha!
Chonde na mkae mbali damu ngumu kusafisha!
Na wafagizi andaeni meno yote 'tang'oresha!
Hukimbii Mjomba Malume unangoja kuharisha?
π
kichogo hayo ndio mambo sasaNiko single ready to mingle,
Nikipata right tutawasha the light,
Na papa nitampea juu ya flight, πΉπΉ
π₯ π₯ π₯ π₯ πMimi huwa naangalia tu!
neno langu huwa ni sheria tu!
Sheri ni kama msumeni tu!
Kila upande yenyewe hukata tu!
Ok, mi siyo member wa kawaida tu!
bali ni wenu Ayatollah mwema tu!
Ni hayo tu!
ππͺπ€π₯ π₯ π₯ π₯ π
π₯π₯π₯π₯π
π₯π₯π₯π₯π
πππππ
Unajiamini sana kwa mtu ambaye Google ikikusearch inasema 'Did you mean someone else?Kwanza kama huna mwana ukaelekee kokoto,
dogo unamuuliza, "Kuna aina ngapi za uoto?"
kwa vile shule hajasoma anajibu, "sweet potato",
Yaani majibu anayotoa yanakufanya upate moto.