Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja...
"Keep on, with the force, don't stop
Don't stop 'til you get enough
Keep on, with the force, don't stop
Don't stop 'til you get enough
Keep on, with the force, don't stop
Don't stop 'til you get enough
Keep on, with the force, don't stop
Don't stop 'til you get enough"
 
Umewahi fika? Mkuu
Naomba nisikujibu hili swali mkuu, (km ni kweli) naishia kwa kusema pole kwako.. maana unaweza jikuta unazeekea na kuishia huko....maana sidhani km utaweza jichanga nauli ya kurudi home.

Hiyo nchi haijawahi jielewa.
 
Muhimu ukiwa nje uishi kwa malengo ya muda mfupi urudi nyumbani
 
Nje ya mada...
Nimependa kuijua vizuri hiyo Haiti, unaweza kuendelea kuielezea zaidi?
 
Kwa Nini mkuu wakati Mimi natamani nimalize mission haraka nirudi kwetu Tz.
Wakati me natamani niondoke TZ... Maana famila miyeyusho sana, Bado Serikali ya Sa100 miyeyusho plus plus khaaa
 
Nje ya mada...
Nimependa kuijua vizuri hiyo Haiti, unaweza kuendelea kuielezea zaidi?
Usijali,nitaandaa Uzi maalum utakaosema ijua Haiti, Nchi waishio watu weusi inayopatika Marekani ya Kaskazini.
 
Usijali,nitaandaa Uzi maalum utakaosema ijua Haiti, Nchi waishio watu weusi inayopatika Marekani ya Kaskazini.
Usisahau kuweka na info za mbususu za huko mkuu nakukumbusha tu.
 
Hiyo nchi mbona bora ya kubaki bongo
 
Back
Top Bottom