"Keep on, with the force, don't stopHabari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja...
Naomba nisikujibu hili swali mkuu, (km ni kweli) naishia kwa kusema pole kwako.. maana unaweza jikuta unazeekea na kuishia huko....maana sidhani km utaweza jichanga nauli ya kurudi home.Umewahi fika? Mkuu
Wakati me natamani niondoke TZ... Maana famila miyeyusho sana, Bado Serikali ya Sa100 miyeyusho plus plus khaaaKwa Nini mkuu wakati Mimi natamani nimalize mission haraka nirudi kwetu Tz.
ππππ€visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini
Watu wanatafuta maisha kwenye mapori huko ndani ndani unashangaa Haiti?Kutafuta maisha Haiti?
(km ni kweli) Pole sana.
Umelijibia vizuri sana mkuu. AsanteWatu wanatafuta maisha kwenye mapori huko ndani ndani unashangaa Haiti?
Usijali,nitaandaa Uzi maalum utakaosema ijua Haiti, Nchi waishio watu weusi inayopatika Marekani ya Kaskazini.Nje ya mada...
Nimependa kuijua vizuri hiyo Haiti, unaweza kuendelea kuielezea zaidi?
Usisahau kuweka na info za mbususu za huko mkuu nakukumbusha tu.Usijali,nitaandaa Uzi maalum utakaosema ijua Haiti, Nchi waishio watu weusi inayopatika Marekani ya Kaskazini.