halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,267
HahaaKamata like wewe. Sleep is for sissies...
Ndiyo maana hali ya hewa imebadilika ghafla!Nimetoka msalani.
Punguza ukali wa maneno, tupo wengi tu humu. Jana saa saba usiku niliiona lakini pia saa kumi nikawa machoHalafu mtu unakuta eti anawacheka mateja wakati mwenyewe macho mekundu usingizi njwee lakini kuondoka hapa hawezi. Na kesho anakwenda kazini...
Nimeangalia mpira liveSio kweli
Hakuna kushuka. Kufa hutakufa lakini cha moto utakiona!Tanzania simama nishuke
Ulisema Dakika 70, 1-1Kiaje?
Nimeangalia mpira live
Nothing serious mkuu. Kamata likes...Punguza ukali wa maneno, tupo wengi tu humu. Jana saa saba usiku niliiona lakini pia saa kumi nikawa macho