halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,267
Kibiti
Na bado...Sijawahi kupata like nyingi kiasi hiki
Ati nini?Inatosha
Halafu mtu unakuta eti anawacheka mateja wakati mwenyewe macho mekundu usingizi njwee lakini kuondoka hapa hawezi. Na kesho anakwenda kazini...Yaan adiction mbaya sana
Kamata like wewe. Sleep is for sissies...G nyt
Bon nuitAti nini?
Gidachang'wa!Bon nuit
NdioHii kweli