babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Ah! Temptation ya kubaki nayo ni kubwa! Ngoja nijaribu kidogoBabe S. Unakwenda wapi. Subiri angalau for 10 minutes...
Ah! Temptation ya kubaki nayo ni kubwa! Ngoja nijaribu kidogoBabe S. Unakwenda wapi. Subiri angalau for 10 minutes...
Hii kweliCameroon 0 vs chile1
Hata mi nawashangaa. What is sleep compared to likes?mnao lala mnaacha likes hivi hivi?
Subiri tufike 20k wote pleaseJamani mpaka wakati mwingine! Arios!!!
...and little nightmares...Sweet dreamz
New Delhi...Bombay
Hayo sisi hayatuhusu. Kamata likes...[HASHTAG]#inawezekana[/HASHTAG]
Jina zuri lisilo na kazi yoyote njema nyuma yake naweza kulifananisha na sabuni yenye jina zuri lakini isiyotakatisha hata leo ukiita komoa kesho ukaiita komesha keshokutwa ukaiita kiboko, rungu n.k kama haitakatishi ni bure kabisa ukitaka kuipa kibali shughulikia uwezo wake wa kutakatisha nguo au vyombo ili kazi yake njema iipatie jina jema.
Ndugu yangu shughulika na hakikisha una kazi njema zinazosimama nyuma ya jina lako zuri ili lifanyike kuwa jina jema.
Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; na Neema kuliko fedha na dhahabu. (Mithali 22:1)
Ongeza na hiyoSijawahi kupata like nyingi kiasi hiki
Big up cheer up na like hiyoAh! Temptation ya kubaki nayo ni kubwa! Ngoja nijaribu kidogo
Bibi na babu!Baba na mwana
Ugiriki...Ureno
Usingizi huu hauwezi kumuacha mtu salamaSweet dreamz