Like zitapofua wengi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata ma Great Thinkers wenye nyodo na Makiingereza magumu nao nawaona wako hapa wanafakamia likes [emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh [emoji2] [emoji2]Ukosefu wa likes haujawahi kuwaacha salama ndio maana wako hapa[emoji16][emoji16]
Inawezekana...Kuna mtu ambae sijampa LIKE humu?
Una maswali mengi kwani wewe ni polisi???[emoji23][emoji23][emoji23]Like nini?
Kwakweli hakuna namnaHapa hakuna cha kiingereza kigumu wala nin wote wananyooka kuja kuchukua likes huku
Mwandu tu kumalikoMwe! Jobha.
Mrisho Gambo,Paul makondaYusufu makamba, abasi kandoro, said meck sadik,.......malizieni
TupoWazee wa likes mpo wapi?
Hao watu wanahasira kama nungunungu!!Tunaanza na Lizaboni na kale kakiherehere Laki si pesa