moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Lete hizoAmen
Kula like!
Lete hizoAmen
Kula like!
I am sorry, niliona binaya vibaya. Nilidhani nina comment kwenye uzi mwingine wa wastaraabu wa makapuku forum.Nashukuru mno, nashukuru nyote.
Hua nafurahi sana, kupita humu asilimia kubwawatu ni wa starabu mno.
Ni vile siwezi kupitia huku kila siku, sababu ya muda. Lakini kila nipatapo muda humu hua napitia sana na kutoa angalau salamu tokea last year
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu mbona kwenye uzi wao ule umekimbia??njoo ujibu maswali yetu basiNashukuru mno, nashukuru nyote.
Hua nafurahi sana, kupita humu asilimia kubwawatu ni wa starabu mno.
Ni vile siwezi kupitia huku kila siku, sababu ya muda. Lakini kila nipatapo muda humu hua napitia sana na kutoa angalau salamu tokea last year
Asante fanya himaBaadae wakuu.
Nitawajaza nikirejea tena
[emoji23][emoji23]Hawa sio wezi ni wahanga wa njaa
Like kwanza huko nyuma ya comment yako utaiona njia mkuuJamani naulizia njia ya kwenda siredi ya kupata like.
Na me nakujazaJaza ujazwe nishawajaza wote juu
mbona tunafanana majina[emoji15] [emoji15]Unakumbuka kwanin ilikuwa inaitwa complex casino
Kule watu wanatia hasira, angalau hapa tunapoza machunguKule jukwaa la siasa kuna stress sana!!
Bora huku ni mwendo wa likes!!
Ukinipa like jua na wewe unapata yako yenye kiwango cha dhahabu na sio makinikia ya magufuli!!
HiyoGonga na hapa
Kama nani? Tena wewe ndo nimekupa saaana.Inawezekana...