Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni asubuhi na mapema siku ikiwa ndio kwanza inaaza, upo kitandani unatafakari ni vp siku itakwenda mara unasikia mlangoni kwako kuna mtu anabisha hodi, wakati unaamka ukaone nani kabisha hodi unajigonga na kabati, ile unanyanyuka unaanza kutembea utoke nje unajikwaa na kitanda, unatoka nje ile unasindika mlango wa chumbani unajibana na mlango, kufika sebuleni nako unajikwaa na glasi inavunjika, unafungua mlango wa nje unakutana na jamaa anajichekesha na kusema kaka/dada tuna sabuni za urembo
 
I'm going to kill that guy
 
Back
Top Bottom