mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hivi njaa huwa unasikia njaa au unahisi njaa😀😀😀😀😀😀😀😀paleee njaa imekupiga afu huna pesa ya kulaaaa😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Hivi njaa huwa unasikia njaa au unahisi njaa😀😀😀😀😀😀😀😀paleee njaa imekupiga afu huna pesa ya kulaaaa😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Pomoja cole HBD againHhahhaha
I have to accept kwa
Kweli Niki settle nitamalizia siku yangu humu I appreciate sana
unahisi mkuuHivi njaa huwa unasikia njaa au unahisi njaa
Sawa bibie....nimekuelewa lakini ni vibaya kumshirikisha Mungu kwa kumkadiria maumbile yakeYa ngoswe mwachie ngoswe hapa ni kula like tu
Naniiii...?
[emoji2][emoji2][emoji2]The shortest war in history was between Zanzibar and England in 1896, Zanzibar surrendered after 38 minutes.
Kweli kabisa sijuiYa ngoswe mwachie ngoswe hapa ni kula like tu
Na rekodi umeshavunja ya kutoa like laki moja na kituWakuu
Wekeni Post nying muwezavyo nitakuwa na like mpaka bhasi
Hatubishani tunaelimisha kwa uelewa wako umefikia hapoSawa mkuu Mimi ndo nimepotoka....bac nenda kamsalimie huyo Mungu wako huko misri nafikiri bado atakuwa yupo hai....[emoji57] [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU USIANDIKE KIINGEREZA MWENYKIT WAKO DARASA LA SABA MBONA UNANINYANYASA?decided to travel to US. At The Embassy For Visa Interview, this is what happened
Officer: Where to in the US?
Me: San Jose
Officer: It's pronounced as _San Hosey_. J is pronounced as H in the US.
Me: Oh, okay!
Officer: So how long do you plan to be in the US ?
Me: from Hanuary to Hune or Huly........ naona file lang katupa kwenye ndo ya plastic...cjui ndo processing machine