HhahhahaHappy birthday
Leo nzima
Tuta ku wish
Kama vise versa hiviKilled na committing suicide
Maana zake;
Mwanamke kuolewa na mwanamme asiyempenda = being killed
Mwanamme kuoa mwanamke asiekupenda = committing suicide
Ndio umefikakaribu sanaaaaaaaa..... sisi tupoooo
Bakoraaa nyingi sanaaa nakupa na 0 dadekiiMwalimu Wa Somo La Sanaa,eti Katuambia Tuchore Gari Inatembea Juu Ya Road,wakat Mi Cjui Kuchora, C Ndo Nikachora Road Tu
Tcha Kuuliza,mbona Umechora Road Tu?
Nikamjibu Kwa Kujiamin
Tcha Ulisema Tuchore Gari Linatembea
Tayari Limepita
Ya ngoswe mwachie ngoswe hapa ni kula like tuHistoria potofu....msipotoshwe kilaini....huyo ni kiumbe tu na sio Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika ubora wako Numbisa nacheka balaa hapaMwalimu Wa Somo La Sanaa,eti Katuambia Tuchore Gari Inatembea Juu Ya Road,wakat Mi Cjui Kuchora, C Ndo Nikachora Road Tu
Tcha Kuuliza,mbona Umechora Road Tu?
Nikamjibu Kwa Kujiamin
Tcha Ulisema Tuchore Gari Linatembea
Tayari Limepita
Sawa mkuu Mimi ndo nimepotoka....bac nenda kamsalimie huyo Mungu wako huko misri nafikiri bado atakuwa yupo hai....[emoji57] [emoji57]Kula likes ujui chochote unayepotoka ni wewe
Mwenyekiti wageni napokea mmkaribu sanaaaaaaaa..... sisi tupoooo
Ndiooo mkluu majukumu meng nilikua na kikao JAMII INTELIGENCENdio umefika
Katika ubora wako Numbisa nacheka balaa hapa
MIMI ndio mwenye mamlakaaa mkuu usiniingilie tafadhalii okey....?Mwenyekiti wageni napokea mm
Kwa sababu nimezaliwa please mwenyekiti
Mwenyekiti wageni napokea mm
Kwa sababu nimezaliwa please mwenyekiti
Hahahaaaaa. KitukoA tiny amount of liquor on a scorpion will make it instantly go mad and sting itself to death.
I'm going to kill that guyNi asubuhi na mapema siku ikiwa ndio kwanza inaaza, upo kitandani unatafakari ni vp siku itakwenda mara unasikia mlangoni kwako kuna mtu anabisha hodi, wakati unaamka ukaone nani kabisha hodi unajigonga na kabati, ile unanyanyuka unaanza kutembea utoke nje unajikwaa na kitanda, unatoka nje ile unasindika mlango wa chumbani unajibana na mlango, kufika sebuleni nako unajikwaa na glasi inavunjika, unafungua mlango wa nje unakutana na jamaa anajichekesha na kusema kaka/dada tuna sabuni za urembo