HahahahaMwenyekiti kibaka ni kwa leo Tu
Thanks200K [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
55
Haya mambo ya visaasili (legends) ni mambo ya kawaida tu Salthanks na vipo duniani kote. Ndiyo maana majina yote yameanza na mungu na siyo Mungu. Kila mtu anajua kuna Mungu mmoja tu.
Nzuri mkuu
Umeona mbali kiongozi, Ubarikiwe kwa ujumbe wakoKuna watu hawakutazami kwa jicho lao bali kwa jicho la mtu aliyewahadithia uongo kuhusu wewe.