Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Kiongozi nimekupata ila kwa ujumla kutumia jina la Mungu kwa viumbe ni makosa...hata kama mababu zangu waliamini hv...Mm binafsi naona ni makosa....na upeo wa elimu ya watu wa zamani ilikuwa ni ndogo mno...walipotoshwa na wakarahisika kuufuata upotofu kwa fikra zao zilizofungikaHaya mambo ya visaasili (legends) ni mambo ya kawaida tu Salthanks na vipo duniani kote. Ndiyo maana majina yote yameanza na mungu na siyo Mungu. Kila mtu anajua kuna Mungu mmoja tu.
Wamisri wa kale walikuwa na miungu mingi sawa na Wahindu wa leo. Waroma hali kadhalika. Hata katika makabila mengi ya Kiafrika. Hata sisi Wasukuma tulikuwa na miungu yetu. Naamini hata kwenye kabila lako (kama unalo) ukiulizia wazee watakwambia miungu ya kabila lenu.
Ni kufuru kama mtu angeingilia utukufu wa Mungu yule mmoja Muumba Mbingu na nchi; na kujiita yeye ni/alikuwa Mungu!
Upo kiongozi, mambo vipi mkuluUna bahati umemkuta KK kaondoka. Usingechukua raundi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]mwambie me nataka savanna,dompo na sant annaAlvaro zote zangu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nyoosha maneno watu wakufanyie kweli, maana humu wamo ambao nao wana hamu ya kukugegeda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto[emoji6][emoji6]Mwenyekiti kibaka ni kwa leo Tu
Maza fantaMhhhhhhh
Napokea zawadi kwa niaba[emoji6][emoji6][emoji6]Happy birthday