Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya mambo ya visaasili (legends) ni mambo ya kawaida tu Salthanks na vipo duniani kote. Ndiyo maana majina yote yameanza na mungu na siyo Mungu. Kila mtu anajua kuna Mungu mmoja tu.

Wamisri wa kale walikuwa na miungu mingi sawa na Wahindu wa leo. Waroma hali kadhalika. Hata katika makabila mengi ya Kiafrika. Hata sisi Wasukuma tulikuwa na miungu yetu. Naamini hata kwenye kabila lako (kama unalo) ukiulizia wazee watakwambia miungu ya kabila lenu.

Ni kufuru kama mtu angeingilia utukufu wa Mungu yule mmoja Muumba Mbingu na nchi; na kujiita yeye ni/alikuwa Mungu!
Niliishia kumpa likes uwezo wake ulifika kikomo
 
Back
Top Bottom