Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa ni shida ndio natoka huko Na you tube kupata ubuyu kidogo dah jamaa alikataa kupimwa mkojo
Hahahahaha TL bhana
Ana pointi sana. Angekuwa anazitoa kwa lugha inayoeleweka yaani ingekuwa poa sana. Sijui mihemko inamzidia na anaamua kutumia lugha ile? Mpaka wanaamua kumpima mkojo ili kujua pengine huwa anapasha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha ni shida sana huyu mtu namsikiliza kwa makini sana kukosea ni Mara chache
Nakumbuka kwenye Bunge la katiba kwa kweli wajumbe wote walimkubali sana
 
Halafu jamaa hana mke wala Mtoto sijui ni bahati mbaya au sielewi
Lakini jamaa anafungamana liberal part wanaosapoti mambo Fulani
Hayo ni maisha yake. Inahusianaje na siasa zake? Ni lazima kuwa na mke na watoto? Don't hit below the belt Mzee wa Masaki. Siasa za maji taka hizi.

Halafu si mlisema huku hakuna siasa? Yupo pale Buguruni akina Maalim na Mtatiro wamemshindwa. Kamvae kwa hoja uone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom