Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Una bahati umemkuta KK kaondoka. Usingechukua raundi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
images

wapi ISIS
 
Zaitun anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi, kufungua mlango akakuta ni jirani yake Fabian ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, zaituni kavua ile kanga akabaki uchi akaanza kujipaka mafuta akijua Fabi hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..

Zai : VIPI Fabi MBONA UMEPOTEA YAANI
HUONEKANI SIKU HIZI..?
Fabian: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA
OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!...
[emoji23][emoji23][emoji23]nahisi zaitun alizimia
 
Kiongozi nimekupata ila kwa ujumla kutumia jina la Mungu kwa viumbe ni makosa...hata kama mababu zangu waliamini hv...Mm binafsi naona ni makosa....na upeo wa elimu ya watu wa zamani ilikuwa ni ndogo mno...walipotoshwa na wakarahisika kuufuata upotofu kwa fikra zao zilizofungika

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupata mkuu. Kinachoongelewa hapo siyo Mungu. Ni mungu na uwingi wake ni miungu. Mungu muumba mbingu na nchi ni mmoja tu na hana uwingi. God the Almighty!

Musa alipokwenda kuwakomboa Waisraeli aliwakuta Wamisri wakiabudu miungu yao. Ndiyo miungu hii inayoongelewa hapa. Wamisri walikuwa na miungu iliyotawala karibu kila kitu - mungu wa mapenzi, mungu wa anga, mungu wa mvua, mungu wa ardhi, mungu wa magic, mungu wa .....
 
Back
Top Bottom