Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images

wapi ISIS
Ni mambo mawili tu: Ama anahesabu hela au yupo deep kwenye magic worship and practice...[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Nakupata mkuu. Kinachoongelewa hapo siyo Mungu. Ni mungu na uwingi wake ni miungu. Mungu muumba mbingu na nchi ni mmoja tu na hana uwingi. God the Almighty!

Musa alipokwenda kuwakomboa Waisraeli aliwakuta Wamisri wakiabudu miungu yao. Ndiyo miungu hii inayoongelewa hapa. Wamisri walikuwa na miungu iliyotawala karibu kila kitu - mungu wa mapenzi, mungu wa anga, mungu wa mvua, mungu wa ardhi, mungu wa magic, mungu wa .....
Hawana idadi lakini waliokuwa Na nguvu sana ndio hao akina ISIS AMUN RA HORUS
 
Back
Top Bottom