Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a36d35cc239ab25474c2aeffb134dedd.jpg
 
Nakupata mkuu. Kinachoongelewa hapo siyo Mungu. Ni mungu na uwingi wake ni miungu. Mungu muumba mbingu na nchi ni mmoja tu na hana uwingi. God the Almighty!

Musa alipokwenda kuwakomboa Waisraeli aliwakuta Wamisri wakiabudu miungu yao. Ndiyo miungu hii inayoongelewa hapa. Wamisri walikuwa na miungu iliyotawala karibu kila kitu - mungu wa mapenzi, mungu wa anga, mungu wa mvua, mungu wa ardhi, mungu wa magic, mungu wa .....
Ndo hiyo miungu feki wanayoikubali na kuikubali hawa....Mungu ni mmoja kwahiyo neno miungu halina nafasi labda hao waitwe kivingine maana ukweli kwa sasa wao ni wafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom